23/05/2026
Full-Time! Uganda U-17 1️⃣-1️⃣ Kenya U-17
1st leg
|
[email protected] Nimezaliwa Tanzania NAITWA Salvatory Joseph Kabulwa ama samatta jr
23/05/2026
Full-Time! Uganda U-17 1️⃣-1️⃣ Kenya U-17
1st leg
|
Tuliishi kwa Upendo, Ucheshi, Utani Mwingi na Kuheshimiana mdogo wangu Pumzika kwa Amani Pejoka Milele Unaishi Moyoni mwangu, Neno nakupenda Sikuwahi kulitamka mbele yako lakini Ulitambua Hilo kwa namna tulivyoishi nasikitika Sana Neno nakupenda nalitamka Bila wewe Kujua Mdogo wangu Nitasimama Imara ila Sitovunja Mahusiano mema baina yangu na wewe Mdogo wangu, Nitakuombea Kila Wakati nipatapo Fursa ya Kufanya Hivyo
Pumzika kwa Amani Petro Joseph Kabulwa 💔🥹🙏🏽
16/05/2026
💔🙏🏽
15/05/2026
Dear GOD 🙏🏽
15/05/2026
Dah Mdogo wangu 💔😭
Rest in Easy Pejoka
15/05/2026
Kariakoo Women's Derby
Simba Queens 🆚 Yanga Princess
Saa 10:00 Jioni - Azam Complex Chamazi
Michezo 5 Ya Mwisho kwa Timu zote
Simba Queens
Simba Queens 1-0 Ceasiaa Queens
Simba Queens 2-0 Fountain Princess
Bunda Queens 0-3 Simba Queens
Bilo FC 0-5 Simba Queens
Simba Queens 4-0 Geita Queens
/////
Yanga Princess
Geita Queens 1-2 Yanga Princess
Alliance Girls 0-3 Yanga Princess
Yanga Princess 0-2 Tausi FC
Yanga Princess 5-0 Ruangwa Queens
Bunda Queens 0-3 Yanga Princess
13/05/2026
Timu ya Taifa ya wanawake U17 imefanya mazoezi katika uwanja wa kituo cha Ufundi cha TFF Kigamboni kujiandaa na mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya Afrika Kusini utakaochezwa Mei 23, 2026 kwenye uwanja wa New Amaan, Zanzibar
13/05/2026
Kariakoo Women's Derby 🥱✅
Simba Queens 🆚 Yanga Princess
May 15,2026 - Saa 11:00 Jioni
Azam Complex Chamazi
Enheeeee Ikawajeeeeeee au Itakuwajeeeee kwenye show za ila wakumbushe kuwa Tanzania U20 Imefuzu Kombe la Dunia kwa Wanawake 2026 Hukoooo Poland 😜🇹🇿
Song by
Tayari Bingwa Amepatikana Ambaye ni Top Girls FC ikiwa ni mara ya Pili Mfululizo 🤩
13/05/2026
Dunia Haitoi Majibu, Inatoa Majaribu 💔🤕
Mstari huu Upo kwenye Nyimbo ya Unaitwa Hebu Tenga dakika zako 10 Nenda YouTube Ukapate Somo kutoka kwa Ndugu yetu Ambaye amechagua kuwa muziki ni Elimu kwa Binadamu wa Level zote
Link kwenye Bio yake Your the Best Brother 🙌🏽❤️
Tanzania U20 Imefuzu Kombe La Dunia kwa Wanawake 2026 Poland kwa Akina Robert Lewndowski 🥳🥰
12/05/2026
Cameroon U20 Niliwaambia Hapo Baada ya Wao Kutufunga Kwao 3-1 nikawaambia Tutakuja kufanya Revenge ya Nguvu kwa sababu Tunao Uwezo wa Kufanya Hivyo tukiwa Home Ground
Ewaaaah nadhani Hawakuamini Maneno yangu Mpaka Baada ya Mchezo 😜🥳
Ahsante sana Na wengine Wote