Mkomboz sport news

Mkomboz sport news

Share

Sport news

19/09/2020

Bale is back
Hivyo ndio Unaweza kusema mara winga wa kimataifa wa Wales kusain mkataba na klabu ya Tottenham

18/09/2020

Klabu ya Arsenal wamefikia makubaliano binafsi na Kiungo wa Lyon ya ufaransa Houssem Aouar

12/08/2020

Deal done

10/08/2020

Kiungo wa Yanga Feisal salum ameongeza mkataba wake wa kuwatumikia timu ya wananchi leo hii

09/08/2020

Aliyekuwa C.E.o wa simba rasmi amejiunga na Yanga Mara baada ya kujiuzulu simba

01/08/2020

Deal done
Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa beki wa kushoto wa Police Tanzania yassin Mustafa kwa mkataba wa miaka miwili

01/08/2020

Deal done
Klabu ya yanga imekamilisha usajili wa beki kisiki wa Coast Union Bakary Nondo Mwamnyeto kwa mkataba wa miaka miwili

01/08/2020

Deal done
Azam imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Rwanda Ally Niyonzima kwa miaka miwili Mara baada ya kumaliza mkataba na Rayol sport ya Rwanda

31/07/2020

Deal done
Klabu ya Yanga imemsajili kiungo wa kagera sugar Zawad peter mauya

31/07/2020

Deal done
Klabu ya Yanga sc imemsajili golikipa wa Kagera sugar Ramadhan chalamanda

31/07/2020

Klabu ya Yanga sc ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki wa kulia wa Kmc Kelvin Kijiri

31/07/2020

Klabu ya Simba sc imekamilisha usajili wa beki wa kulia wa Lipuli David Kameta

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam