22/11/2024
Follow
DUBE DAY ๐๐
Kuelewa mchezo wa CAFCL kati ya YANGA SC vS AL HILAL. Benjamin Mkapa National Stadium, YANGA SC wameiazimisha siku hiyo k**a ni siku ya mwana mfalme DUBE DAY wakisema kuwa wanaenda kufungua milango iliyofungwa.
Swali : Dube atafunga chuma ngapi kwa utabiri wako?
11/11/2024
Follow
Kocha mkuu wa YANGA SC - MIGUEL GAMONDI ameanza maandalizi ya CAFCL kuelekea mchezo wake wa kwanza Makundi CAFCL dhidi ya AL-HILAL ya Sudan.
12/09/2024
Follow
MX NZENGELI ๐๐
Kila la kheri wananchi katika mchezo wenu dhidi ya CBE.
12/09/2024
Follow
YUSUF KAGOMA๐ฆ
Rasmi mchezaji wa SIMBA SC KAGOMA ameruhusika kucheza katika klabu yake hio. Hivyo hakuna shauri la kufungiwa wala timu kukatwa points k**a ilivyodaiwa hapo awali. SIMBA SC tayari imeshaelekea nchini LIBYA kucheza mchezo wao wa CAF dhidi ya AL AHLY TRIPOLI.
Neno moja kwake YUSUF KAGOMA.
11/09/2024
Follow
Msanii wa BongoFleva maarufu k**a ABIGAL CHAMS amepost picha tofauti katika ukurasa wake wa INSTAGRAM ukionesha amevaa vazi jeusi ambalo nyuma ya vazi hilo limeandikwa neno "BIKRA". Mashabiki na wanahabari wengi wamekuwa wakijiuliza kuwa msanii huyo alikusudia nini ila bado kuna utata juu ya suala hilo.
Je wewe unahisi alikuwa na maana gani ABIGAL CHAMZ.
Usisahau kutufollow na kushare.
10/09/2024
Follow
VIVA TAIFA STARS ๐น๐ฟ ๐ฅ
10/09/2024
Follow
Wewe k**a MTANZANIA ๐น๐ฟ una maoni gani?
Ongelea mpira ushabiki wa SIMBA na YANGA tupa kule ๐ฎ
Mchezo wa leo TANZANIA Vs GUINEA.
03/09/2024
Follow
AWESU AWESU ๐ฆ
Miongoni mwa sajili bora kabisa zilizofanywa na SIMBA SC kwenye msimu wa 24/25 ni usajili huu wa AWESU AWESU kutoka KMC. AWESU ameonesha kiwango kikubwa sana katika mechi chache kwani anauwezo wa kuchezesha timu, kupiga pasi sahihi maeneo sahihi na kufunga pia. Naiona SIMBA SC yenye mafanikio makubwa 24/25 ikitokea katika miguu yake.
Unabisha au unakubali k**a unabisha toa sababu... ๐
03/09/2024
Follow
CLEMENT MZIZE (24)
MZIZE amekuwa katika kiwango kizuri sana kwa sasa na anawez kuwa bora zaidi baadae kwani katika michezo kadhaa waliyocheza YANGA SC MZIZE ameonesha uwezo mkubwa kwa kutoa pasi za mwisho yaani (ASSISTS) na kufunga mabao licha ya kuwa mara nyingi hutokea SUB. Klabu mbali mbali duniani k**a vile KAIZER CHIEFS na WYDAD mpaka sasa dau lililopo mezani ni (Tzs 1.0 B). Klabu kubwa (Wydad) imeshawishika kupeleka OFFER juu ya kumuhitaji CLEMENT MZIZE lakini bado YANGA SC wamesimamia msimamo wa kutomuuza nyota huyo mdogo na mwenye uwezo mkubwa uwanjani.
Je unamshauri nini MZIZE kutokana na offer hizi au uongozi wa YANGA SC kwa ujumla?
27/08/2024
Follow
PRINCE DUBE (29)
Aliyekuwa mchezaji wa AZAM FC kwa misimu kadhaa PRINCE DUBE ambaye kwa sasa amejiunga na klabu ya YANGA SC. Ameeleza kuwa kwa sasa anaona muelekeo wa kutimiza ndoto zake za muda mrefu k**a mchezaji. Kwani kwa muda mfupi tu kujiunga na YANGA SC tayari ana medali (2) shingoni mwake na vikombe (2) ikiwemo NGAO YA JAMII ๐. Pia tayari YANGA SC ameanza safari yake ya kuelekea makundi CAFCL ๐
Endelea kufuatilia habari zetu ๐ค??๐ฅ
27/08/2024
Follow
SIMBA SC ๐ฆ
Nguvu Moja ๐ค๐ผ
Kocha ana sifa zote za kubeba kombe la NBC ๐
26/08/2024
Follow
SOMA UKWELI HUU MWANANCHI ๐๐
Kiungu mshambuliaji wa YANGA SC, CHAMA JR amekuwa akisemwa na kuzungumzwa na mashabiki na waandishi wengi kuwa umri umeenda. Ila kicha ya maneno yote hayo juzi katika mchezo wa VITAL'O na YANGA S CAFCL, YANGA SC alifunga goli 6 - 0. Wakati CHAMA akihusika na magoli 5 kwani aliweza kutoa ASSISTS 4 na kufunga GOAL 1. Hii ina maana kuwa CHAMA JR bado ana mchango mkubwa kwa timu kubwa k**a YANGA SC na yinginezo.