19/05/2022
GO AND PARTY LIKE 1994🙌,
football ni zaidi ya Uchizi.
Hili ni tukio pale Goodson Park baada ya Everton kupindua meza kibabe,
Bao la Calvert Lewin limewafanya mashabiki kushuka kutoka jukwaani na kuingia dimbani kushangilia bao hilo ambalo linafufu matumaini ya Everton kuendelea kusalia ligi kuu.
19/05/2022
Knowledge Musona maarufu kwa jina la Smilling Assasin ametangaza kustaafu kuitumikia timu ya taifa ya Zimbabwe.
Musona mwenye umri wa miaka 31 ameitumikia Zimbabwe kwenye michezo 49 na kufanikiwa kufunga mabao 24.
16/05/2022
Kinda wa kimataifa wa Tanzania Hajji Suleiman Mnoga ( ) amemaliza mkataba wake wa mkopo kwenye klabu ya Weymouth inayoshiriki ligi ya national league huko Uingereza.
Mlinzi huyo ambaye ameitumikia Taifa Stars michezo miwili ya kirafiki mwezi machi 2022 anajiandaa kurejea kwenye klabu yake ya Portsmouth.
Mnoga ana umri wa miaka 20 ma anamudu kucheza eneo la ulinzi wa kulia na kati.
12/05/2022
And It’s Arsenal,Arsenal FC ,
We’re by Far the Greatest team,the world has ever seen😎.
We all follow Arsenal,Over land and see,
We all follow the Arsenal onto victory😊.
OOOH TO BE AGOONER☺️
29/04/2022
🧠,Thank you for your assistance |consideration |encouragement | Guidance | Time🙏🏻.
23/04/2022
Profesa wa Ghetto,
Mzee wa VISIT MOROGORO🇹🇿
14/04/2022
ZANIOLO ON FIRE🔥
ROMA 4-0 BODOE/GLIMIT
⚽️⚽️⚽️Zaniolo
⚽️Abraham
60’ Game On
12/04/2022
“We can do no great things, only small things with great love."-Mother Theresa🙏🏻.
DELIGHT MAKERS' GROUP] DELIGHT MAKERS' GROUP]