Matokeo ya michezo

Matokeo ya michezo

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Matokeo ya michezo, Sports Event, Astonvillaswahili24. co. tz, Dar es Salaam.

26/10/2025

╱◥██████◣
│∩│🌄▤│▤▤│
K**a simu yako ni original copy hii 🤣🤣🤣

02/10/2025

Anaitwa Aziz Andabwile mwambalaswa

Kiungo wa chini wa eneo la ulinzi la young Africans aziz andabwile ameonesha kiwango cha juu sana katika michezo ya yanga ya ligi kuu na ile miwili ya champions league thidi ya Waliete bengulla ya Angola 🇦🇴
Kwa mara ya kwanza anaitwa national team na hemedi sulemani almaarufu "morroco" kwenye kikosi kinachojiandaa kuikabili Zambia 🇿🇲 michuano ya kufuzu kombe la Dunia.
NB: TANZANIA 🇹🇿 na ZAMBIA 🇿🇲 wanakamilisha ratiba

10/09/2025

STAR 🌟

MBDSSO KHAN KWENYE SIMBA DAY 2025

Star wa bongo flava anaetamba na vibao vikali kwenye industry ya muziki kwasasa k**a vile na alitumbuiza kwenye tamasha la simba day alilo lifanya kwa ubunifu wa hali ya juu kabisa ubunifu huo ukifananishwa na filamu ya mambele huko ya mad max

Mwamba ametisha sana🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥

08/07/2025

🏟 MATOKEO YA MECHI ZA JANA (YESTERDAY RESULTS )

Cosafa Cup 🌐 U20
Zambia 3-0 Eswatini
South Africa 3-0 Botswana

WAFCON 2024 🌍
South Africa W 2-0 Ghana W
Mali W 1-0 Tanzania W

Division Professional
Blooming 4-2 Real Oruro 🟥
🟥🟥 Academia del Balompie 2-2 Nacional Potosi 🟥

Euro 2025 🌐 Women
Spain W 6-2 Belgium W
🟥 Portugal W 1-1 Italy W

Veikkaussliiga
KTP 0-0 Gnistan

Besta Deild Karva
Hafnarfjordur 1-1 Stjarnan

Allsvenskan
Norrkoping 0-1 Brommapojkarna

Friendly International 🌍
Senegal 1-0 Guinea

Club Friendly 🌍
Newells Old Boys 1-1 Once Caldas
Mazatlan 2-1 Cruz Azul
Akron Togliatti 0-2 Arsenal Tula
Liberec 0-1 Hartberg
Qarabag 4-5 Metalist 1925
Radnicki 1923 3-1 IMT Novi Beograd Moses fundi ujenzi fundi ujenzi

07/07/2025

🚨...MPANZU HUYOO ANASEPA

Itakua ni jambo la kushtua sana hasa kwa wapenzi na mashabiki kindakindaki wa wekundu wa msimbazi baada ya winga wao machachari na hatari ELIE MPANZU kuletewa ofa mbalimbali kutoka timu kubwa barani afrika pamoja na Europe.

kwamujibu wa taarifa kutoka kwa waandishi wa habari za michezo kutoka drc Congo zinadai wababe wa michuano ya kombe la shirikisho barani afrika RS Berkane kutoka Morocco 🇲🇦 , Stade Brestois 29 inayocheza league one maarufu k**a kutoka ufaransa 🇫🇷 na timu ya zamani ya star wa Tanzania 🇹🇿 samatta KRC Genk 🇧🇪
ukizitazama ofa hizo kulingana na aina ya timu zinazo muhitaji unapata kujua kuwa itawawia vigumu matajiri hao wa msimbazi kumzuia ELIE MPANZU, hata mchezaji mwenyew hawezi kukubali kuziacha fursa k**a hizo zimpite pia ikumbukwe hawa wachezaji ni wafanya kazi k**a wafanya kazi wa taasisi zingine.
Tutarajie kuiona simba ambayo haina mpanzu msimu ujao.

ukitaka kujenga nyumba yako ya maisha au finishings za plasta nicheki fundi wako Moses fundi ujenzi au piga 0783222009 muda wote na mikoa yote nafika

🏃‍➡️🏃‍➡️

21/04/2025

Papa Francis amefariki dunia Jumatatu, Aprili 21, 2025 akiwa na umri wa miaka 88 katika makazi yake katika Casa Santa Marta, Vatican.

01/08/2024

SOLID OUT TU
Kwenye tuzo aaaaah
😂😂

01/07/2024

NGOMA IKILIA SANA MWISHO HUPASUKA

MWAMBA WA LUSAKA Clatous Chama NI MWANANCHI🙆
taarifa ya kushtukiza hii kwa wanasimba wote huku msemaji wetu akiruka ruka tu k**a ndege kuhusu kila siku porojo tu kumbe hakuna lolote hii ni aibu kwa idara ya habari ya SSimba SC Tanzania.
Leo hii anaondoka chama unajiuliza mchezaji gan mkubwa anasajiliwa mara mutale mara debora, hivi hawa wachezaji mmewahi kuwaona hata kwenye shirikisho wakifanya vizuri maana kwenye mataifa yao sijawahi hata kuwasikia.
Tutaendelea kushindania nafasi ya pili maana hata timu ya ubingwa hatuna mtu k**a chama ameondoka, inonga ameondoka na saidoo ameondoka hawa wote ni first 11 unatuletea wachezaji hawaeleweki hivi jobe na fred mnawaacha wamefanya kazi gan nzuri yakuwavutia.

NB SIMBA DAY mtakuja wenyewe💔 maana timu inasajili wachezaji lakini kocha hakuna❌🙆🙆🙆🙆

10/06/2024

Bongo flava❤

Alikiba X

15/04/2024

🚨 SIMBA MPYA

Maamuzi yamefikiwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Salim Abdallah Try Again amekubali kuwa ataachia ngazi kwenye nafasi hiyo.

Barbara Gonzalez anatarajiwa kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi akichukua nafasi ya Try Again.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

Astonvillaswahili24. Co. Tz
Dar Es Salaam