28/04/2023
Leo Ijumaa, mnyama atakuwa dimba la Mohammed V nchini Morocco kukipiga na Wydad Casablanca katika mechi ya mkondo wa pili robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mnyama ataingia katika mchezo huu akiwa na mtaji wa goli moja alilopata mechi ya kwanza.
28/04/2023
Mapacha walioungana, Lupita na Carmen Andrade waliozaliwa nchini Mexico na kukulia Connecticut nchini Marekani, wamezua gumzo kubwa baada ya mmoja kati yao kueleza kwamba yupo kwenye uhusiano wa kimapenzi huku mwingine akiwa โsingleโ.
Kilichowashangaza wengi, ni kutokana na ukweli kwamba wawili hao, wameungana kuanzia kiunoni, lakini wanatumia miguu miwili kwa pamoja.
Carmen ndiye aliyekiri kuwa na mpenzi aliyemtaja kwa jina la Daniel ambapo ameeleza kwamba pacha wake, Lupita yeye hayupo kwenye uhusiano wa kimapenzi.
Carmen ameendelea kueleza kwamba kumekuwa na changamoto nyingi zinazowakabili tangu wakiwa watoto wadogo, nakwamba jitihada za kuwatenganisha zilishindikana.
23/04/2023
Kwa Habari za Michezo na burudani usiache ku like ukurusa huu.
23/04/2023
RATIBA YA MECHI KALI ZA LEO DUNIANI.
๐น๐ฟ TANZANIA-NBC PREMIER LEAGUE
16:00 Coastal Union vs Mtibwa
19:00 Kagera Sugar vs Mbeya City
๐ CAF CONFEDERATION CUP-Quarter Final
16:00 Rivers United ๐ณ๐ฌ vs ๐น๐ฟ Yanga SC
19:00 Pyramids ๐ฎ๐ถ vs ๐ฟ๐ฆ Marumo Gallants
19:00 US Monastir ๐น๐ณ vs ๐จ๐ฎ ASEC Mimosas
22:00 USM Alger ๐ฉ๐ฟ vs ๐ฒ๐ฆ AS FAR Rabat
PREPARED BY
๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ ENGLAND PREMIER LEAGUE
16:00 Bournemouth vs West Ham
16:00 Newcastle vs Tottenham
๐ช๐ธ SPAIN-LA LIGA
15:00 Elche vs Valencia
17:15 Barcelona vs Atlรฉtico Madrid
17:30 Mallorca vs Getafe
22:00 Sevilla vs Villarreal
๐ฉ๐ช GERMANY-BUNDESLIGA
16:30 Freiburg vs Schalke 04
18:30 Bayer Leverkusen vs RB Leipzig
20:30 Borussia M'glabach vs Union Berlin
๐จ๐ต FRANCE-LIGUE 1
14:00 Reims vs Strasbourg
16:00 AC Ajaccio vs Brest
16:00 Lorient vs Toulouse
16:00 Nantes vs Troyes
16:00 Nice vs Clermont Foot
18:05 Montpelier vs Rennes
21:45 Lyon vs Marseille
PREPARED BY
๐ฎ๐น ITALY-SERIE A
13:30 Empoli vs Inter Milan
16:00 Monza vs Fiorentina
16:00 Udinese vs Cremonese
19:00 AC Milan vs Leece
21:45 Juventus vs Napoli
๐ต๐น PORTUGAL-LIGA PORTUGAL
17:30 Portimonense vs Gil Vicente
20:00 Benfica vs Estoril
20:00 Santa Clara vs Chaves
22:30 Arouca vs Vizela
๐ณ๐ฑ NETHERLANDS-EREVIDISIE
13:15 FC Twente vs Sparta Rotterdam
15:30 Go Ahead Eagles vs Fortuna Sittard
15:30 PSV Eindhoven vs Ajax
17:45 Feyenoord vs FC Utrecht
21:00 AZ Alkmaar vs RKC Waalwijk
๐ง๐ช BELGIUM-FIRST DIVISION A
14:30 St Truiden vs Royal Antwerp
19:30 Anderlecht vs KV Machelen
19:30 Club Brugge vs Eupen
19:30 Gent vs Oostende
19:30 Kortrijk vs Union St. Gilloise
19:30 OH Leuven vs Standard Liege
19:30 Sporting Charleroi vs Genk
19:30 Zulte Waregem vs Cercle Brugge
09/04/2023
TAARIFA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC). Aidha, Rais Samia ametengua uteuzi wa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Mhandisi John Nzulule.
Katika hatua nyingine, Mhe. Rais amemuelekeza Katibu Mkuu Kiongozi kuhakikisha kuwa Makatibu Wakuu na Watendaji Wakuu wote wa Taasisi za Serikali wanaipitia kwa kina taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kujibu na kuzifanyia kazi kwa haraka hoja zote zinazogusa maeneo yao.
Vile vile, Mhe. Rais ameelekeza kuwa watendaji wote watakaobainika kuhusika na uzembe au ubadhirifu wachukuliwe hatua za kisheria.
RRS HABARI