Bongo sports

Bongo sports

Share

this page for sports news

26/08/2021

Klabu ya Simba SC Tanzania yatangaza mkutano na wahandishi wa abali

26/08/2021

Repost from no dewjji

Ilikua ni furaha kukutana na Jason Levien, ambae ni mmiliki wa klabu ya mpira wa miguu ya DC United ambayo ina thamani ya dola za kimarekani millioni 700! D.C. United

Nina furaha kutangaza ushirikiano mpya kati ya klabu za DC United na Simba.

Ifikapo mwaka 2022, klabu ya Simba itasafiri kwe da Marekani kwaajili ya mazoezi na maandalizi ya msimu mpya, na pia itashiriki katika mashindanobya kimataifa yatakayoandaliwa na klabu ya DC United, ambayo yatahusisha ligi ya MLS na vilabu kutoka Amerika ya Kusini.
//
It was a pleasure to meet Jason Levien, owner of American professional soccer club DC United, which is valued at over 700M USD!

I am excited to announce a new partnership between DC United and Simba Sports Club.

In 2022, Simba will travel to America 🇺🇸 for preseason training and will also participate in an international soccer tournament hosted by DC United that will include Major League Soccer (MLS) and Clubs from South America.

26/08/2021

Afisa abali wa klabu ya simba sc Ezekiel kamwaga amethibitisha kuwa kiungo saidi hamisi ndemla amejiunga na mtibwa sugar kwa mkopo

26/08/2021

Chirwa ndani ya namungo fc amejiunga akiwa mchezaji huru akitokea azam fc

26/08/2021

Mohammed issa banka amejiunga na klabu ya namungo fc akitokea klabu ya ruvu shooting

26/08/2021

Kaimu katibu mkuu wa klabu ya yanga sc CPA haji mfikirwa amesema haji manara haendi kuchukua nafasi ya nugazi au bumbuli ila kuna kazi maalumu ambayo watampa aende akaifanye

26/08/2021

SIMBA SC siku ya leo huenda wakatangaza tarehe ya simba day

25/08/2021

JEZI MPYA ZA KLABU YA YANGA SC

20/08/2021

Uongozi wa klabu yanga sc umesema utatambulisha jezi mpya za msimu ujao kwenye siku ya mwananchi lengo la kufanya hivo nikuepuka wale wanao tengeneza jezi feki

Photos from Bongo sports's post 20/08/2021

Jezi za nyumbani na ugenini za azam fc

20/08/2021

Jezi namba mbili ya ugenini ya azam fc

20/08/2021

Makambo na mayele combo mpya ya wananchi

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam