Drop to Maintain

Drop to Maintain

Share

Helping people reach their goals through day to day support, on loosing weight in healthy ways and b

Kwanini utumie WAX kunyolea, na kwanini uchukue WARMER & WAX yake FULL SET? Soma mpk mwisho kuelewa kwani TUNA OFA IPO WAZI MPK WIKI IJAYO. Tupigie 0786 651070🙏

🦚WAX ni bidhaa NZURI SANA (mbadala wa kunyoa) hutoa nywele kuanzia ndani kwenye uoto wake asilia, hivyo kufanya nywele mpya kuchelewa kuota kwa muda wa wiki 3 na zaidi kulingana na asili yako.

🦚WAX husaidia ngozi kubaki laini k**a ya mtoto mdogo kwa zaidi ya wiki 3 mfurulizo ndio unaanza kuona nywele zinaota, tena zinaota k**a vinyweleo.

🦚WAX husaidia ngozi kujitibu yenyewe kutokana na changamoto zote zilizosababishwa na kunyoa juu ya ngozi, k**a weusi, mapele, miwasho, madoa, sugu kwenye ngozi etc manake hurejesha asili ya ngozi tena.

🦚WARMER ni kifaa (Kipot cha umeme) kitumikacho KUPASHIA WAX, sio lazima uwe na warmer ndio utumie wax, lakini WARMER hurahisisha sana wakati wa matumizi ya kumaintain joto la WAX yako ili usirudi kupasha mara kwa mara.

🦚Unapochukua FULL SET yaani WAX & WARMER unakuwa umeupiga mwingi sbb mahali popote penye umeme unajihudumia, uwe umesafiri au unataka kumsafisha umpendae unabebana na SET yako maisha yanaendelea.

HII OFA ni PREPAID unalipia FULL SET kwa 80,000shs tu badala ya 97,000 (17,000 unasave) TUNAIFUNGA RASMI 03RD AUG WIKI IJAYO. Habari njema ni kwamba ukilipia mapema wiki ijayo unapata kwani kuna chache zimetangulia tayari na mzigo wetu mwingine. 

🦚Tunapatikana Mikocheni B, pia tuna MAWAKALA BAADHI YA MAENEO. Kufahamu zaidi unaweza follow page yetu @greenbeautypro @greenbeautypro @greenbeautypro @greenbeautypro

Tupigie +255 786 651070 kwa msaada wa haraka unaanzaje kuendelea kunyoa unaharibika ngozi na sisi @greenbeautypro tupo banaaa?

#PainLessWax #WaxIsiyoumiza #WaxRafiki #WaxTz #Honey #HoneyWax #WaxIsiyouma #HoneyWaxtz #PainLessWaxtz #LessPain #BeginnerFriendlyWax #viralvideo #viralpost2024 #GreenBeautyPro #Wax 26/07/2024

Hi family, If you’re interested with post like this please follow the page to know more!👇🏻
https://www.instagram.com/reel/C94nCVgNXqT/?igsh=MWh2ZnVkZDl4cGNsMw==

Kwanini utumie WAX kunyolea, na kwanini uchukue WARMER & WAX yake FULL SET? Soma mpk mwisho kuelewa kwani TUNA OFA IPO WAZI MPK WIKI IJAYO. Tupigie 0786 651070🙏 🦚WAX ni bidhaa NZURI SANA (mbadala wa kunyoa) hutoa nywele kuanzia ndani kwenye uoto wake asilia, hivyo kufanya nywele mpya kuchelewa kuota kwa muda wa wiki 3 na zaidi kulingana na asili yako.

🦚WAX husaidia ngozi kubaki laini k**a ya mtoto mdogo kwa zaidi ya wiki 3 mfurulizo ndio unaanza kuona nywele zinaota, tena zinaota k**a vinyweleo. 🦚WAX husaidia ngozi kujitibu yenyewe kutokana na changamoto zote zilizosababishwa na kunyoa juu ya ngozi, k**a weusi, mapele, miwasho, madoa, sugu kwenye ngozi etc manake hurejesha asili ya ngozi tena.
 🦚WARMER ni kifaa (Kipot cha umeme) kitumikacho KUPASHIA WAX, sio lazima uwe na warmer ndio utumie wax, lakini WARMER hurahisisha sana wakati wa matumizi ya kumaintain joto la WAX yako ili usirudi kupasha mara kwa mara.
 🦚Unapochukua FULL SET yaani WAX & WARMER unakuwa umeupiga mwingi sbb mahali popote penye umeme unajihudumia, uwe umesafiri au unataka kumsafisha umpendae unabebana na SET yako maisha yanaendelea.

HII OFA ni PREPAID unalipia FULL SET kwa 80,000shs tu badala ya 97,000 (17,000 unasave) TUNAIFUNGA RASMI 03RD AUG WIKI IJAYO. Habari njema ni kwamba ukilipia mapema wiki ijayo unapata kwani kuna chache zimetangulia tayari na mzigo wetu mwingine. 

🦚Tunapatikana Mikocheni B, pia tuna MAWAKALA BAADHI YA MAENEO. Kufahamu zaidi unaweza follow page yetu @greenbeautypro @greenbeautypro @greenbeautypro @greenbeautypro 
Tupigie +255 786 651070 kwa msaada wa haraka unaanzaje kuendelea kunyoa unaharibika ngozi na sisi @greenbeautypro tupo banaaa? #PainLessWax #WaxIsiyoumiza #WaxRafiki #WaxTz #Honey #HoneyWax #WaxIsiyouma #HoneyWaxtz #PainLessWaxtz #LessPain #BeginnerFriendlyWax #viralvideo #viralpost2024 #GreenBeautyPro #Wax

Photos from Drop to Maintain's post 27/09/2021

Si lazima uwe vegan kufurahia mapishi unahitaji tu kukipenda chakula.
》》》
You don't have to be vegan to enjoy recipes you just need to love food.

27/08/2021

It's a lifestyle.

27/08/2021

Free laziness.

Photos from Drop to Maintain's post 27/08/2021

Kila mmoja wetu ana nafasi kubwa ya kujali maisha yetu kwa kutumia chakula kubadilisha afya zetu.

Each of us has anenormous opportunity to take charge of our lives using food to transformour health.

Photos from Drop to Maintain's post 25/08/2021

Cha kujali ni nini unakula na namna unavyokula.

What you eat and how you eat matters.

24/08/2021

Take note... ✍🏻

Photos from Drop to Maintain's post 24/08/2021

Nini unakula ni muhimu sana kuliko kiwango unachokula.

What you eat is just as important as how much you eat.

24/08/2021

Simple and delicious 😋

19/08/2021

Same age different choices. How do you want to be as you age?

..
Umri sawa uchaguzi tofauti. Unataka kuwaje unapozeeka?

19/08/2021

Eat food as your medicine otherwise you've to eat medicine as your food.

..
Kula chakula k**a dawa yako vinginevyo utakula dawa k**a chakula chako.

Photos from Drop to Maintain's post 16/08/2021

What are you taking for breakfast? Did you know, a proper nutrition can makes you live longer and beat diseases!

..
Unakula nini kufungua kinywa? Je wajua, lishe bora hukufanya uishi maisha marefu na kushinda magonjwa!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

P. O. Box 32159
Dar Es Salaam
00000

Opening Hours

Monday 07:00 - 20:40
Tuesday 07:00 - 20:40
Wednesday 07:00 - 20:40
Thursday 07:00 - 20:40
Friday 07:00 - 20:00
Saturday 06:00 - 19:00
Sunday 11:00 - 02:30