04/11/2025
0_UNASNWERED CRIESDownload Kitabu Cha literature kilicho chambuliwa
UNANSWERED CRIES 0_UNASNWERED CRIESDownload Kitabu Cha literature kilicho chambuliwa
Karibu kwenye kurasa ya michezo inayokuretea kumbukumbu za mechi za kihistoria, matukio makubwa ya soka, na vichwa vya habari vya mabingwa!
Tunakumbuka Jana ili kuhamasisha kesho. Jiunge nasi kufurahia soka.
04/11/2025
0_UNASNWERED CRIESDownload Kitabu Cha literature kilicho chambuliwa
UNANSWERED CRIES 0_UNASNWERED CRIESDownload Kitabu Cha literature kilicho chambuliwa
04/11/2025
Njia Bora za Kujiingizia Kipato kwa Njia ya Kimtandao Dunia ya sasa imebadilika kwa kasi kubwa. Teknolojia imefungua milango mipya ya fursa ambazo hazihitaji mtaji mkubwa — bali maarifa, ubunifu na uaminifu. Kupitia intaneti, mtu yeyote anaweza kuanza kujipatia kipato akiwa nyumbani, shuleni, au hata kazini. Hapa chini ni njia bora na halali za kujiingizia kipato mtandaoni ambazo unaweza kuanza kuzitumia leo:...
NJIA BORA ZA KUJIINGIZIA KIPATO KWA KUTUMIA MITANDAO Njia Bora za Kujiingizia Kipato kwa Njia ya Kimtandao Dunia ya sasa imebadilika kwa kasi kubwa. Teknolojia imefungua milango mipya ya fursa ambazo hazihitaji mtaji mkubwa — bali maarifa, ubunifu …
27/10/2025
🌍 📜 MWANAMKE AJIITAYE MTUME – NAFASI YA DINI KATIKA SWALA HILI
Kumekuwa na gumzo kubwa kuhusu mwanamke anayedai kuwa mtume kule Zanzibar 😮
Wengi wameuliza — je, kweli inawezekana kuwa na mtume mwingine katika zama hizi?
Vitabu vya dini vinatuambia nini? 👇
🕌 Uislamu unasemaje?
📖 “Muhammad si baba wa mtu yeyote kati yenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na mwisho wa manabii.”
— Qur’an 33:40
Mtume Muhammad ﷺ pia alisema:
> “Hakutakuwa na nabii baada yangu.” (Bukhari 3609)
🔹 Hivyo, katika Uislamu, mlango wa utume umezibwa milele — yeyote anayedai utume ni mwenye kupingana na mafundisho haya.
✝️ Ukristo unasemaje?
📖 “Manabii wengi wa uongo watatokea, nao watadanganya wengi.” — Mathayo 24:11
📖 “Yezebeli ajitaye nabii anawapotosha watumishi wangu.” — Ufunuo 2:20
🔹 Biblia inasisitiza kuwa utume wa kweli ni wito wa Mungu mwenyewe, si cheo cha kujitangaza.
⚖️ Hoja kwa Jamii
Dini zote mbili zinaelekeza kuwa utume umefungwa, lakini swali linabaki:
> Je, kuna uwezekano wa mtu kuitwa na Mungu kwa njia ya kipekee hata bila kuitwa “mtume”? 🤔
Tujadili kwa hekima na heshima.
Imani ya kweli haipo kwenye majina au vyeo, bali katika uadilifu na matendo mema.
🕊️ HITIMISHO
> “Uongozi wa kiroho ni wito kutoka kwa Mungu — si cheo cha kujitangaza.”
💬 Toa maoni yako:
Unadhani ni sahihi au si sahihi mtu kujitangaza kuwa mtume katika zama hizi?
👇 Weka mtazamo wako kwa hoja na heshima.
📘 | | | |
22/10/2025
🔥 VIVO KALI! 256GB/6GB RAM KWA BEI YA KUTUPA! 🔥
Simu Mpya Kabisa (Sealed Box)
* Brand: VIVO
* Hifadhi (Storage): 256GB (Hutojaza!)
* Kasi (RAM): 6GB (Inaruka!)
* BEI YETU: TSH 250,000/= TU!
Kwanini Uchague Hii?
Inakupa uhuru wa multitasking, kucheza games nzito, na kuhifadhi kila kitu bila stress.
TUNAPATIKANA: Dar es Salaam.
WASILIANA Nasi:
Piga au WhatsApp sasa upate yako:
📞 0685511684 au 0675025972
Wahi Ofa Hii! Ubora na Kasi kwa Bei Ndogo. Mikoani tunatumia
Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Jafari Sanga, Kabuz Printers TZ, Ken Jnr, Frank Kessy, Jinior Bernad, Kingstone King, Maisha Niwatu, Vanessa Elia, Hk General, Hasby Rara, Alisabiti Ali, Emmanuelmashaka Nzyunje, Daddy's Mohammed, Said Salmin, Fizzy Will
21/10/2025
Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! 🎉 Iddi Hassan, Kokusima Rugwana, Ezekia Ng'hoba, Sophia Herman
18/10/2025
📉 Haikuwahi kukaa sawa kwa Romain Folz ndani ya Yanga SC 😔
Licha ya kikosi kuwa na wachezaji wenye uwezo mkubwa, mfumo na mbinu zake za kiufundi zilionekana kutokukaa sawa — timu ikipoteza ule mwanga na utambulisho ambao mashabiki walikuwa wameuzoea. ⚽
Matokeo duni kwenye michezo muhimu hasa ya ugenini yalizidi kuibua maswali mengi. Na mwishowe, presha kutoka kwa mashabiki pamoja na matarajio makubwa ya klabu yalimfanya nafasi yake kuwa ngumu zaidi kuendelea.
Je, unadhani Yanga walifanya uamuzi sahihi kumaliza naye mapema au walipaswa kumpa muda zaidi? 💭👇
17/10/2025
🏆 Tuzo za CAF 2025
Wamebainishwa wagombea wa kipengele cha Mchezaji Chipukizi Bora wa Mwaka (Wanawake) 🌍✨
🇪🇬 Habiba Essam
🇪🇬 Habiba Sabry
🇬🇭 Stella Nyamekye
🇸🇩 Doha El Madani
🇳🇬 Shakirat Moshood
🇸🇳 Adji Ndiaye
🇹🇿 Ester Maseke Marwa
🇹🇿 Winfrida Gerald
🇿🇲 Mercy Chipasula
🇿🇲 Ruth Mukoma
👑 Wewe unadhani nani anastahili taji hili mwaka huu?
17/10/2025
🌍⚽ Orodha ya Viwango vya FIFA – Afrika (Oktoba 2025)
Haya ndiyo mataifa 10 bora barani Afrika kwa mujibu wa viwango vipya vya FIFA:
🥇 🇲🇦 Morocco — Nafasi ya 1 Afrika | Dunia 🏅12
🥈 🇸🇳 Senegal — Nafasi ya 2 Afrika | Dunia 🏅18
🥉 🇪🇬 Misri — Nafasi ya 3 Afrika | Dunia 🏅32
4️⃣ 🇩🇿 Algeria — Nafasi ya 4 Afrika | Dunia 🏅35
5️⃣ 🇳🇬 Nigeria — Nafasi ya 5 Afrika | Dunia 🏅41
6️⃣ 🇨🇮 Ivory Coast — Nafasi ya 6 Afrika | Dunia 🏅42
7️⃣ 🇹🇳 Tunisia — Nafasi ya 7 Afrika | Dunia 🏅43
8️⃣ 🇲🇱 Mali — Nafasi ya 8 Afrika | Dunia 🏅53
9️⃣ 🇨🇲 Cameroon — Nafasi ya 9 Afrika | Dunia 🏅54
🔟 🇿🇦 Afrika Kusini — Nafasi ya 10 Afrika | Dunia 🏅59
🇹🇿 Tanzania imeshika nafasi ya 24 barani Afrika na 107 duniani, ikiendelea kupanda hatua kwa hatua katika mpira wa Afrika! 💪⚽
Ni taifa gani unaliona likipanda zaidi kwenye viwango vijavyo vya FIFA? 👇
17/10/2025
🔴 RASMI
🇸🇳 Marc Philips Arona Diouf amesaini mkataba na TP Mazembe! 🦅
Kipa wa kimataifa wa Senegal aliyepigiwa kura kuwa Kipa Bora wa Mashindano ya CHAN yaliyopita, amejiunga rasmi na miamba wa soka kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa mkataba wa miaka miwili, ukiwa na chaguo la kuongeza mwaka mmoja zaidi.
Ni usajili mkubwa wenye faida kwa mchezaji na klabu zote mbili. 👏⚽
15/10/2025
🔥🌍 Afrika inaamka tena!
Kati ya makocha 9 waliotinga Kombe la Dunia 2026, wako 7 ni Waafrika halisi! 🙌🏾
Hii ni ishara kubwa kuwa bara letu linaanza kujiamini na kuchukua hatamu za mafanikio yake lenyewe.
🇬🇭 Otto Addo
🇸🇳 Pape Thiaw
🇨🇮 Emerse Faé
🇹🇳 Sami Trabelsi
🇨🇻 Pedro Leitão Brito “Bubista”
🇲🇦 Walid Regragui
🇪🇬 Hossam Hassan
Wakiwa bega kwa bega na 🇩🇿 Vladimir Petković (Bosnia) na 🇿🇦 Hugo Broos (Belgium).
Afrika sasa siyo tena kutegemea — bali kuongoza! 💪🏾⚽
| Monday | 09:00 - 17:00 |
| Tuesday | 09:00 - 17:00 |
| Wednesday | 09:00 - 17:00 |
| Thursday | 07:00 - 00:00 |
| Friday | 07:00 - 00:00 |
| Saturday | 07:00 - 00:00 |
| Sunday | 07:00 - 00:00 |