16/07/2026
Ninamshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai. Mwaka mpya wa maisha yangu naukaribisha kwa imani, afya njema, mafanikio na baraka nyingi. Nitaendelea kupambana hadi ndoto zangu zitimie.
Heri ya kuzaliwa kwangu! 🥳🎉
'Son