Bongo Shine Tv

Bongo Shine Tv

Share

BONGO SHINE TV inakuwezesha kujua habari zote za michezo. Ziwe za kitaifa au kimataifa, Pia kusikil

ZUCHU AKIMKATIKIA MIUNO DIAMOND HADHARANI BILA AIBU 24/03/2022

ZUCHU AKIMKATIKIA MIUNO DIAMOND HADHARANI BILA AIBU

ZUCHU AKIMKATIKIA MIUNO DIAMOND HADHARANI BILA AIBU Miuno ya ZUCHU kwa DIAMOND Platnumz ni balaa, amkatikia hadharani, ZUCHU na DIAMOND mahaba yao sio siri tena. hii ndio video ikimuonesha ZUCHU akimkatikia mi...

21/03/2022

Historia ya PETER TOSH, Aliyekuwa mwalimu wa BOB MARLEY. Alikuwa muhamasishaji wa muziki wa Reggae duniani. Pamoja na kwamba wengi wamepandikizwa mizizi ya kuamini kuwa muasisi wa muziki huu ni Bob Marley na kuucha ukweli wa kwamba Bob alijiunga na kundi la The Wailers akimkuta PETER TOSH akiwa amesha utambulisha muziki huo vilivyo...
Fahamu HISTORIA yake na Fatilia kupitia channel yako pendwa ya BONGO SHINE TV. Historia hii ya Nguli wa Muziki wa Reggae Duniani.

19/03/2022

Klabu ya SIMBA ikijiandaa na mechi dhidi ya ASEC MIMOSAC Ambayo itachezwa huko nchini BENIN.
SIMBA imeanza mazoezi mara tu baada ya kutua nchini humo kwa ajili ya Mechi ya marudiano ya kombe la shirikisho la Africa dhidi ya ASEC MIMOSAC ambayo itachezwa jumapili ya wiki hii ya tarehe 20 machi mwaka huu.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

Dar Es Salaam
0255