Yanga kiboko yao

Yanga kiboko yao

Share

Yanga Mabingwa wa Muda wote TanzaniaπŸ’ͺ

Photos from Yanga kiboko yao's post 15/05/2024

30Times

18/04/2024

π™π€π–π€πƒπˆ πŠπ–π€ π–π€ππ€ππ‚π‡πˆπŸ”°

π”π™πˆ wa Wananchi sasa ni πŸπŸ“,𝟎𝟎𝟎 𝐓𝐔! K**ata U*i wako Original twende tukakiwashee Jumamosi kwa Mkapa πŸ‡ΉπŸ‡Ώ


16/03/2024
27/02/2024

β€œSiku ya Ijumaa (siku ya mchezo), tutaonesha mechi yetu hapa jangwani kwa ajili na wanachama mashabaiki na wapenzi wa Yanga SC kushuhudia mchezo huo. Mimi k**a Rais wa Shangwe, najaribu kuwaza k**a tunaweza kuwa na shughuli ya kushangilia ushindi wetu wa nne hapa kwenye hiyo siku. Ikiwezekana hata tupate supu”. Meneja Habari na Mawasiliano Young Africans SC
Africans Sports Club

26/02/2024

K**a timu yako ina wavunja kuni wengi, hizi takwimu lazima uzichukie!
Africans Sports Club

26/02/2024

Young Africans Sports Club to the Quarter FinalπŸ”₯πŸ”₯

16/08/2023

π™ˆπ˜Όπ™“π™„7⃣ π˜Όπ™‹π™€π™’π˜Ό π™ˆπ™†π˜Όπ™π˜Όπ˜½π˜Ό π™ˆπ™‹π™”π˜Ό

Baada ya kuvutiwa na kiwango chake uongozi wa Yanga SC umeuchana mkataba wa awali wa miaka miwili wa Maxi Nzengeli.

Mabosi wa klabu hiyo wamempa gari la kifahari pamoja na kumboreshea mshahara wake. Watamuongeza mkataba mpya wa miaka (4). Muda wowote kuanzia leo atasaini mkataba mpya na klabu hiyo.

Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, pia klabu hiyo itamuongeza mkataba mpya wing-back wao, Yao Attohoula (26)

Ukiachana na viwango vyao, pia uongozi wa Yanga umeshtukia mchezo wa baadhi ya mawakala kutoka ndani na nje ya Nchi walioanza kuulizia mikataba yao.

16/08/2023


Vipi mwamba aboreshewe maslahi upya au wamuache k**a alivyo?!!

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Dar Es Salaam