RATIBA YANGU YA MECHI LEO .....
✍🏻Saa Kumi naangalia mechi ya Yanga Sc dhidi ya KMC ikiisha tu ,
✍🏻Saa kumi na mbili na robo nahamia LALIGA kutazama mechi ya Rayo Vallecano na Real Madrid
✍🏻Ikifika saa kumi na mbili na nusu nastream game ya Fainal ya Al Ahly na Zamalek kwa Pembeni😃😃..
✍🏻Mpaka Kufika saa Moja na Nusu izo za Juu zitakuwa zishanipa uelekeo ni mechi za aina Gani then macho yote nayahamishia kwa Mechi ya Man City na Liverkuku 🔥
✍🏻Baadae Sana hapo nikiwa na Furaha ya Madrid kuangusha alama na Zamalek Kubeba ndoo + Liverkuku Kukalia Kaa la moto ,
✍🏻Nahamia kwenye mechi ya Inter na Lazio saa tano kasoro robo hiyoo nikiwa naskilizia itimu saa tano nkamilishe siku kwa kuangalia timu Bora Duniani ikicheza 😎
✍🏻Ikishafika saa tano kamili Inter na Lazio nawapumzisha kidg then nahamia LALIGA tena kutazama timu ya Wananchi ,timu bora na yenye mvuto ikicheza na Celta Vigo ...
Si mnawajua Celta Vigo !!! Borga Iglesias mzee wa Hattrick yupo, Iago Aspas na yule dogo aliyetunyoosha akiwa na Osasuna msimu jana Bryan Zaragoza yupo Celta 🔥🙌🙌What a match .
✅SIKU INAANZA NA YANGA VS KMC INAMALIZIKA NA BARCELONA VS CELTA VIGO .
🤝Wassalaaam .
@ Credit to Aziz
Magogoni Football Club
Football⚽️ Academy Based Kigamboni/Dar 🇹🇿
08/11/2025
How Do we call that? ⚽️
08/11/2025
Vijana
Ukuaji wa Pamoja husaidia sana Football Chemistry 😃
Pamoja since u11
07/11/2025
Wanangu.
Sikilizeni, Iheshimu sana Siku katika Masiku ya Kumbukizi.
Haya maSiku Yanabeba ujumbe mzito sana. Màndalizi uwanja wa mazoezi.
07/11/2025
Wastani
Ni Mpira Mmoja kwa wachezaji wawili. Japo changamoto ni nyingi sana. 🙏🏻
Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Tungi
Dar Es Salaam
MAGOGONI
Dar Es Salaam
MAGOGONI