Mzalendo Media

Mzalendo Media Content Creator
Sports and Entertainment

Niambie umegundua kitu gani kwenye hii picha ya diamond platnumz hapa
06/07/2026

Niambie umegundua kitu gani kwenye hii picha ya diamond platnumz hapa

KUMUONA MTOTO WA WEMA SEPETU KUGHARIMU HADI MILIONI 5Hatimaye taarifa rasmi za sherehe ya kutimiza siku 40 za Baby Ollie...
06/07/2026

KUMUONA MTOTO WA WEMA SEPETU KUGHARIMU HADI MILIONI 5

Hatimaye taarifa rasmi za sherehe ya kutimiza siku 40 za Baby Ollie, mtoto wa Wema Sepetu, zimewekwa wazi. Sherehe hiyo inatarajiwa kufanyika 23 Julai 2026 katika ukumbi wa SuperDome.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, viingilio vitaanzia TSh 100,000, huku kukiwa na chaguo la TSh 300,000 na TSh 500,000. Kwa wale wanaopendelea huduma za kipekee (exclusive), meza maalum za Ollie Exclusive Tables zitagharimu hadi TSh 5,000,000.

Kupitia ujumbe wake, Wema aliwashukuru wote waliomuombea na kumtakia mema katika safari yake ya uzazi, akisema:

"Alhamdulillah for every prayer and well wishes to this amazing journey of mine. Haya sasa shughuli yetu ni SuperDome, na kamati imeomba niwasogezee hizi taarifa. Nitawarudia kuwaeleza unapata nini kwa mchango wako kuelekea kusherehekea mtoto wangu."

Sherehe hiyo inatarajiwa kuwahusisha familia, marafiki na wageni mbalimbali watakaoungana kusherehekea siku 40 za Baby Ollie.

๐Ÿšจ ๐„๐—๐‚๐‹ - Azam Fc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ itaboresha eneo la beki wa kushoto kwa kumsajiki beki wa kigeni wa kusaidiana na Pascal Msindo.Ibeng...
06/07/2026

๐Ÿšจ ๐„๐—๐‚๐‹ - Azam Fc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ itaboresha eneo la beki wa kushoto kwa kumsajiki beki wa kigeni wa kusaidiana na Pascal Msindo.

Ibenge ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ anaamini Msindo anatumika zaidi na hana mbadala sahihi.

Msindo ataletewa mtu wa kumchallenge kwenye nafasi yake.

๐Ÿšจ ๐ƒ๐„๐€๐‹ ๐Ž๐…๐… - Dili la Fadlu Davids ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kwenda Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ limekufa rasmi baada ya pande zote mbili kushindwa kufikia...
06/07/2026

๐Ÿšจ ๐ƒ๐„๐€๐‹ ๐Ž๐…๐… - Dili la Fadlu Davids ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ kwenda Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ limekufa rasmi baada ya pande zote mbili kushindwa kufikia makubaliano.

Young Africans ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imepata chaguo lingine la kocha wao Mkuu.

๐Ÿšจ ๐ˆ๐“'๐’ ๐Ž๐•๐„๐‘ - Singida Black Stars ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imeachana na Golikipa Mohamed Kamara (27) raia wa Sierra Leone ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ ambaye alikuwa an...
06/07/2026

๐Ÿšจ ๐ˆ๐“'๐’ ๐Ž๐•๐„๐‘ - Singida Black Stars ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imeachana na Golikipa Mohamed Kamara (27) raia wa Sierra Leone ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฑ ambaye alikuwa anaitumikia Pamba Jiji Fc kwa mkopo.

Kamara amerejea nyumbani kwao kwaajili ya kutafuta changamoto nyingine.

๐Ÿšจ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Dkt Samia Suluhu Hassan amemtembelea hospitali kiungo wa Young Africans Pac...
06/07/2026

๐Ÿšจ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Dkt Samia Suluhu Hassan amemtembelea hospitali kiungo wa Young Africans Pacรถme Zouzoua ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ ambaye anauguza majeraha yake aliyoyapata kwenye mechi ya NBC PL dhidi ya JKT Tanzania.

Vinara wa magoli world cup ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Mabao 7: Erling Haaland๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Mabao 7: Kylian Mbappe๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Mabao 7: Lionel MessiNani atashinda kia...
06/07/2026

Vinara wa magoli world cup

๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Mabao 7: Erling Haaland
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Mabao 7: Kylian Mbappe
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Mabao 7: Lionel Messi

Nani atashinda kiatu cha Dhahabu Kombe la Dunia?

โ€œInachukua muda gani kuwa mkweli!? Ronaldo wa sasa sio wa miaka kadhaa iliyopita! Huo ndio ukweli na kwa sasa hatuwezi k...
06/07/2026

โ€œInachukua muda gani kuwa mkweli!? Ronaldo wa sasa sio wa miaka kadhaa iliyopita! Huo ndio ukweli na kwa sasa hatuwezi kukaa tunajadili mpango kazi wake maalum! Tunaenda kucheza na Ureno yenye viungo bora sanaโ€

Unai Simon Nahodha Msaidizi wa Hispania.

Mwanamuziki Diamond Platnumz amewakosha vilivyo mashabiki wake katika tour yake ya Retro iliyofanyika Arusha usiku wa ja...
06/07/2026

Mwanamuziki Diamond Platnumz amewakosha vilivyo mashabiki wake katika tour yake ya Retro iliyofanyika Arusha usiku wa jana.

Diamond kwa kushirikiana na bendi na madansa wake, walipiga show hiyo live kwa umahiri mkubwa, kitu ambacho kimeacha historia mkoani hapo.

๐Ÿ’ฃใ€ฝ๏ธโ€ผ๏ธAlfie Haaland (Baba wa Erling Haaland)"Ana furahi sana Manchester City na ana mkataba mrefu. Tunangoja msimu mpya u...
06/07/2026

๐Ÿ’ฃใ€ฝ๏ธโ€ผ๏ธAlfie Haaland (Baba wa Erling Haaland)

"Ana furahi sana Manchester City na ana mkataba mrefu. Tunangoja msimu mpya uanze, lakini kila mtu angetamani kucheza Real Madrid. Huwezi kujua nini kinaweza kutokea kwenye soka."
. .

Address

Ahmadadama440@gmail. Com
Dar Es Salaam
16111

Telephone

714041802

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mzalendo Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category