05/07/2026
HIKI WANACHOKIFANYA SIMBA NI USHAMBA
Nimekuwa nikifuatilia parade za timu mbalimbali barani Ulaya kwa miongo kadhaa, lakini sijawahi kushuhudia parade ya Real Madrid CF ikienda hadi makao makuu ya Atlรฉtico Madrid ya Riyadh Air Metropolitano.
Vilevile, sijawahi kuona parade ya Manchester City F.C. ikielekea kwenye kituo cha mazoezi cha Manchester United F.C. cha Carrington.
Kwa mtazamo wangu, kile kinachofanywa na Simba S.C. hakikubaliki.๐ฎ
Maoni ya Mchambu*i Msomi, Ezekiel Mbise.โ๏ธ
04/07/2026
Nani anatoboa Leo?
๐ดAngalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza Link๐๐ฝ https://shorturl.at/Kfxbb
03/07/2026
๐ธ inasemeka Huu ni u*i mpya wa simba utatumika pre -season 2026/27 Simba Kwenye suala la jezi Kwa sasa๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐
NB : vipi wanasimba Huu U*i utaupa asilimia ngapi?
03/07/2026
EXCLUSIVE
Hivi hapa vilabu 15 vitakavyoshiriki michuano ya CECAFA Kagame 2026:-
1. Police Kenya
2. Fc Gormahia
3. Young Africans SC
4. Simba SC
5. APR FC
6. Rayon Sports
7. Vipers FC
8. Ethiopian Coffee
9. Mlandege FC
10. Al merriekh
11. Jamus SC
12. Al hilal SC
13. El merrikh SC Bantiu
14. Flambeau de Centre
15. Garde Cotes FC
Kuanza ni Julai 24, 2026 mpaka August 8, 2026 nchini Rwanda ๐
02/07/2026
Itโs over kati ya Dube & Yanga
01/07/2026
โ
๏ธ๐๐๐๐ ๐๐ข๐ก๐: SIMBA YAMNASA KIUNGO IBRAHEEM JABAAR KWA USAJILI WA BURE
Klabu ya Simba SC imefikia makubaliano ya kumsajili kiungo mshambuliaji raia wa Nigeria, Ibraheem Olalekan Jabaar (23), ambaye amekuwa mchezaji huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake na klabu ya Stellenbosch FC ya Afrika Kusini.
Taarifa zinaeleza kuwa uamu*i wa Simba kwenda kwa nguvu kwenye usajili wa Jabaar umechangiwa kwa kiwango kikubwa na kocha mkuu Steve Barker, ambaye amesisitiza kuwa anamfahamu vizuri mchezaji huyo kutokana na kufanya naye kazi kwa mafanikio akiwa Stellenbosch FC. Barker anaamini Jabaar ana uwezo wa kuongeza kasi, ubunifu na ushindani mkubwa katika safu ya ushambuliaji ya Wekundu wa Msimbazi.
Jabaar ni mmoja wa wachezaji waliotokea kwenye mfumo wa soka la vijana nchini Nigeria kabla ya kuhamia Stellenbosch mwaka 2021. Akiwa katika klabu hiyo alicheza michezo zaidi ya 140 katika mashindano mbalimbali, akifunga mabao sita na kutoa pasi saba za mabao. Pia aliwahi kucheza kwa mkopo katika klabu ya Maccabi Petah Tikva ya Israel, ambako alipata uzoefu wa soka la kimataifa.
30/06/2026
๐จ๐๐๐ผ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐: YANGA YAKARIBIA KUMNASA WINGA HATARI KUTOKA VENEZUELA
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanatajwa kuwa katika hatua za mwisho za kukamilisha dili la kumsajili winga kutoka Venezuela, Guillermo Leรณn Marรญn Pino, huku taarifa za ndani zikieleza kuwa mazungumzo kati ya pande husika yanaendelea vizuri na makubaliano yanaweza kufikiwa muda wowote.
Iwapo dili hilo litakamilika, Yanga itakuwa imeongeza silaha mpya katika safu yake ya ushambuliaji kwa kumpata mchezaji anayesifika kwa kasi, uwezo wa kupenya kupitia pembeni na kutengeneza nafasi za mabao. Marรญn ameonyesha uwezo wa kucheza zaidi k**a winga wa kulia, lakini pia anaweza kutumika upande wa kushoto na hata nafasi ya kiungo mshambuliaji kulingana na mahitaji ya kocha.
Guillermo Leรณn Marรญn Pino ni raia wa Venezuela mwenye umri wa miaka 25, mzaliwa wa Puerto La Cruz. Kwa sasa anakipiga katika klabu ya Anzoรกtegui FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Venezuela, huku akitajwa kuwa mmoja wa wachezaji wenye uwezo wa kuleta tofauti katika eneo la mwisho la ushambuliaji kutokana na kasi yake, uwezo wa kumiliki mpira na kucheza nafasi zaidi ya moja mbele.
Taarifa zinaeleza kuwa benchi la ufundi la Yanga limekuwa likifuatilia kwa karibu uwezo wa mchezaji huyo, likiamini anaweza kuongeza ushindani mkubwa katika kikosi kitakachoshiriki mashindano ya ndani na kimataifa msimu ujao.
29/06/2026
๐ฌ Wakati ule anaondoka akielekea Wydad nilijua wazi kwamba mpira wa waarabu ungekuwa mgumu kwa Aziz. Hatuhitaji kurudiarudia namna ambavyo wachezaji wa ligi yetu wamekuwa na wakati mgumu wakienda kucheza mpira wa Waarabu.
Huku kwetu tunacheza na timu nyingi dhaifu lakini kule ni vita kuanzia mazoezini hadi katika mechi. Inabidi uwe na nidhamu ya Simon Msuva.โ
โ Legend, Edo Kumwembe.
28/06/2026
๐จ: Yanga wako kwenye mazungumzo na kocha wa zamani wa Simba,Fadlu davids.
Yanga wametuma ofa ya $18500 (tsh 48,697,975) k**a mshahara wa mwezi.
Gari ya kutembelea akiwa Tanzania,nyumba ya kuishi na ticket mbili za ndege k**a kocha huyo atataka kusafiri nchi yoyote duniani kwa issue zake binafsi ndani ya mwaka.
So far hakuna makubaliano yoyote kati ya Fadlu na Yanga ila mazungumzo yanaendelea.
Hii ni mara ya pili Yanga wanarudi kwa Fadlu,awamu ya kwanza walimtaka akiwa Simba ila walimkosa na kwenda wa Romain Folz.
Mazungumzo yanaendelea hivi sasa kati ya Yanga na Fadluโฆ.Yanga wanaamini ni Fadlu ni Top Top Coach.