Semaji la Simba

Semaji la Simba

Share

Habari za Michezo

03/06/2026

Mmeanzisha Vita ya Magari sasa twendeni kazi

Mwaka 2012 Simba na Yanga tulipewa Magari aina ya YOUTONG F11 na Kampuni ya TBL ambayo ilikua mdhamini Mkuu wa Vilabu hivyo kupitia kinywaji cha Kilimanjaro

Hilo Bus la kizamani mpaka leo Yanga wanalo wamewapa Yanga Princess wanahangaika nalo mvua yao jua lao

Mwaka 2021 Simba tukanunua Bus jipya aina ya TATA, Yanga nao wakaiga wakaenda kichwa kichwa wakaunua gari hilo hilo

Simba tukatumia Bus hilo kwa muda wa mwezi mmoja tuu, tukaachana nalo takanunua Bus jipya aina ya DRAGON Mnyama ambayo tunayo mpaka sasa

Wenzetu bado wanakomaa na TATA yao, Wakienda Mikoa ya Karibu k**a Tanga hawaendi nalo wanakodi Mabasi kutoka makampuni mengine sielezi kwanini nisije kuharibu Biashara ya watu

Tukiwa bado tunatamba na Bus la kisasa na kifahari la DRAGON tuliyonunua fedha zetu wenyewe, Leo Tunabadilisha Bus na sasa tunaingia kwenye Standard ya Dunia ya Irizar

Kwa historia hii fupi unaelewa kwanini Nyuma Mwiko wamechanganyikiwa sana na ujio wa Irizar kwa sababu tumezidi kujitofautisha sisi na wao

Kioo cha mbele cha Irizar yetu mpya unauanua gari ya Yanga

Msiumie Wanetu Mwambieni Boss wenu awabadilishie Bus contact za Irizar anazo

24/05/2026

Mechi kweli yenye hadhi ya ligi kuu!! Na mwisho wa mchezo timu bora na kubwa tumeshinda mchezo

Tulitaka tuwalipizie kisasi lakini tumeshindwa hawa ni wagumu kweli

24/05/2026

Chamaaaaa oooh anakosa penalty Mpanzu anamalizia wow GOOOOAL! Simba Sasa wanatangulia mbele ya Dodoma Jiji

Simba SC 1-0 Dodoma Jiji

🔴Angalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza Link👉🏽 https://shorturl.at/Kfxbb

24/05/2026

Mechi imeanza
🔴Angalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza Link👉🏽 https://shorturl.at/Kfxbb

24/05/2026

Kikosi cha Simba SC Kinachoanza 🆚️ Dodoma Jiji
🔴Angalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza Link👉🏽 https://shorturl.at/Kfxbb

21/05/2026

Anicet Ouraaaaaaa!! Assist nyingine kutoka kwa Chama ooh Oura naweka bao la uongozi Sasa

⚽️ Coastal Union 1-2 Simba SC

🔴Angalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza link 👉 https://shorturl.at/GPlR8

Photos from Semaji la Simba's post 21/05/2026

GOOOAL • Coastal 1-1 Simba SC
⚽️Gueye 39'
🔴Angalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza link 👉 https://shorturl.at/GPlR8

Photos from Semaji la Simba's post 21/05/2026

13' Coastal 1-0 Simba SC

🔴Angalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza link 👉 https://shorturl.at/GPlR8

21/05/2026

Kikosi chetu kinachoanza dhidi ya Coastal Union
🔴Angalia Mechi hii LIVE muda huu kwenye simu yako, Bonyeza link 👉 https://shorturl.at/GPlR8

19/05/2026

Simba na ubora wetu wotee hatujawahi kufunga goli k**a hili Pasi 27😳😳 Au Dodoma Jiji au nyie ni Barcelona

Wanetu mlitesekaa sanaa😁 😁Sasa hapo Nahodha anakosa gani k**a timu nzima ilishindwa kukaba

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Address

Dar Es Salaam