Wakali kwanza

Wakali kwanza

Share

michezo ni afya, michezo ni maisha.

Photos from Wakali kwanza's post 01/08/2017

Magazeti ya leo August 1 .2017

Photos 11/05/2017

Antonio griezman akifunga bao kwa mkwaju wa penati dhidi ya real Madrid. Atletico Madrid walishinda 2_1 ila waliondolewa kwa utofauti wa mabao. (2_4)

Photos 11/05/2017

Fainali ya historia.
Je ni juventus au real Madrid.

Photos 19/04/2017

Leicester city 1_ atletico de Madrid 1

Photos 19/04/2017

Mshambuliaji wa Leicester city Jamie vardy akiwa amelala chini baada ya kutoka sare ya kufungana moja kwa moja dhidi ya Atletico de Madrid katika uwanja wa King power uingereza.

Photos 19/04/2017

Cristiano Ronaldo amefunga mabao 5 katika mechi mbili dhidi ya bayern munchen. Na kuweza kuipeleka timu yake katika hatua ya nusu fainal.

Photos 19/04/2017

Uefa champion league

Photos 07/07/2016

CRISTIANO RONALDO
Ni Jina linalotamkwa kwa wingi midomoni mwa wapenda soka duniani kote baada ya kuisaidia timu yake kutinga hatua ya fainali kwa jumla ya mabao 2-0 , akiifungia bao moja na kutoa pasi iliyozaa bao dhidi ya Wales katika uwanja wa Parc ol ufaransa.

Photos 03/07/2016

Klabu ya Manchester United imelizia kumuacha aliyekuwa kocha msaidizi Ryan giggs kwenda kuendeleza kazi yake ya ukocha kunako vilabu vingine

Photos 03/07/2016

Borrusia dortmond wamethibitsha kumuuza kiungo wao harrikh kwenda katika klabu ya Manchester United

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Mbezi Beach_dar City
Dar Es Salaam
DAR_ES_SALAAM