Godfrey Mgaya sports

Godfrey Mgaya sports

Share

Karibu NaAsante Kwa Kulike Page Yetu

Photos from Godfrey Mgaya sports's post 02/08/2025

Kalenda ya Matukio na Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).

26/07/2025

Viingilio vya mchezo wa ufunguzi wa CHAN Tanzania vs Burkina Faso, Agosti 2 Benjamin Mkapa

22/07/2025

Mudathir Yahya Abass ameongeza mkataba wake ndani ya Mabingwa wa Nchi Young Africans Sports Club mpaka 2027.

No doubt Simu ziendelee kuita💪💪

19/07/2025

ZIMBABWE AWAPIGA THANK YOU SIMBA

13/07/2025

CHELSEA MABINGWA WAPYA WA KOMBE LA DUNIA KWA VILABU

Fainali: ⏰ 'FT

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea 3️⃣-0️⃣ PSG 🇫🇷

⚽ Joao Pedro
⚽⚽ Palmer

tueleleze umeuonaje mchezo huo wa Fainali?

13/07/2025

🥅 *GOOOOLL!!* 🥅
🇽🇪 Chelsea [3] x 0 PSG 🇫🇷

⚽ Cole Palmer
🎯 Joe Pedro

🏆 Supe Final

⚽*

13/07/2025

Kombe la Dunia la Vilabu:

Fainali: ⏰ '25

🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Chelsea 1️⃣-0️⃣ PSG 🇫🇷

⚽ Palmer

13/07/2025

🚨 *TETESI ZA USAJILI BARANI ULAYA*

Chelsea wana nia ya kumsajili mlinda lango wa Paris St-Germain na Italia Gianluigi Donnarumma, 27. (L'Equipe)

Newcastle wamefufua nia ya kumnunua mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Mfaransa Hugo Ekitike, 23, na wanatumai kuwashinda Liverpool kwenye usajili wake. (Telegraph)

West Ham wana nia ya kumsajili kiungo wa kati wa zamani wa Aston Villa Douglas Luiz kutoka Juventus, huku Mbrazil huyo mwenye umri wa miaka 27 akiwa ametatizika kufanya vyema kwenye Serie A. (Gazzetta dello Sport)

Cc; BBC NEWS SWAHILI

11/07/2025

WAFCON 2025

➡️⚽Mchezo Ni Mapumziko

🇹🇿1⃣
🇿🇦0⃣

⚽ Opah Clement

*Kwa Emoji Moja Hapa Umekionaje Kipindi Cha Kwanza?*⤵️

11/07/2025

Winga wa klabu ya Simba SC 🇹🇿, Edwin Balua, amejiunga rasmi na klabu ya Enosis Neon Paralimni ya nchini Cyprus 🇨🇾 kwa mkopo wa msimu mmoja.

Uhamisho huo tayari umekamilika rasmi (Done & Sealed 🔒) huku ukiwa ni sehemu ya mpango wa kumpa mchezaji huyo nafasi zaidi ya kucheza na kukuza kipaji chake kwenye ligi ya Ulaya.

06/07/2025

FT: TEAM JOB 1-1 TEAM KIBWANA
52’—⚽️ Dickson Job (Penalti)

39’—⚽️ Nassor Saadun

Kikosi kilichokuwa kimeundwa na Dickson Job kimeibuka na ushindi kwa penalti 4-3 baada ya mchezo kumalizika kwa bao 1-1 kwenye mchezo wa kirafiki wa hisani uliondaliwa na Taasisi ya WAPE TABASAMU.

06/07/2025

Muonekano wa jezi Mpya za AZAM FC kwa ajili ya Msimu ujao wa 2025/2026

*Kwa Emoji Moja Hapa Unaondoka Na U*i Upi?*

🔵⚪⚫

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam