20/02/2020
Mzazi.... mlezi... mwezi huu wa tatu mtoto wako wa darasa la tatu na la nne atakua na program gani
Sisi tumemuandalia program kwa ajili ya maisha yake .... LIFE SKILLS PROGRAM FOR KIDS march ipo kwa watoto wa k**e na kiume
Usajili unaanza sasa kwa 0765670746 - Hilda Ngaja
Kindly share
13/02/2020
Unajua siku yetu inakaribia... watoto wetu wanavitu vingi wanavyoweza kuelekezwa kupitia program hii . Mpe nafasi akiwa mtoto aje aufurahie utuuzima wake
11/01/2020
First and second graders typically get better at physical skills like copying shapes and letters..... YES
Most first and second graders begin to look for logical answers to their questions about the world.... AND
First and second graders start learning how to make and keep friends.HENCE
It takes some meaningful life skills to put them in the best place for achieving their goals. After all, the key to success is preparation.
Umri huu wa mtoto wa darasa la kwanza na la pili ni wakati ambao mtoto anajifunza vitu vingi darasani.. kunakili maumbo nk, lakini pia ni wakati ambao wanatafuta Majibu makini ya maswali yao ya mambo mengi yanayotokea duniani . Hata hivyo wanajifunza kutafuta marafiki na kuwatunza .
Inahitaji maarifa sahihi kuweza kuyafanya yote hayo na waweze kutimiza malengo yao . Kikubwa ni maandalizi.
Program hii ya LIFE SKILLS PROGRAM FOR KIDS ipo kuwaandaa watoto wetu kwenye hayo yote . Tukumbuke ndio kwanza wamefungua shule tupo kwenye wakati sahihi . Fanya booking mapema kwa ajili ya maandalizi mazuri kwa kesho ya watoto wetu. Nafasi bado zipo
0765670746
Hilda Ngaja
Raising up friendship
Life skills program for kids program
16/09/2019
Watoto wetu wameshamaliza mtihani WA darasa LA saba ni wakati wetu kuwapa elimu ya maisha ili kuwandaa na maisha yajayo nafasi bado zipo karibu ni sana
0765670746
05/09/2018
Buy and sell kids products here +255765670746
03/10/2016
Leo saa 11:30 jioni chanel 10 .. Na sheikh Ibrahim .. katibu mtendaji wa wanazuoni wa kiislam Tanzania na mtaalamu wa maswala ya malezi . kamilagwa
08/09/2016
wanafunzi wanaomaliza darasa la saba wako kwenye kundi la hatari kitabia na wanahitaji muda mwingi wa kuwaongoza na kuwafundisha njia sahihi za wao kuhimili mabadiliko yao kitabia,kihisia,kimaumbile nk. Raising Up Friendship ikitoa mafunzo haya kwa wanafunzi wa darasa la saba siku ya mahafali yao kwenye shule ya New Vibe . Ahsante uongozi wa shule na wazazi kutuamini
31/07/2016
Hildelly Solutions Tanzania Limited team . .. Kwenye mradi wa , leo
20/07/2016
Team ya Hildelly Solutions Tanzania Limited tulijenga uwezo kwenye shirika la LECRI CONSULT- ... for positive changes.. a winning team. Happy customer happy Hildelly Solutions Tanzania Limited ..