Yanga, mnataka hamtaki kitapigwaš
Africaplay
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Africaplay, Sports League, Box 9191, Dar es Salaam.
23/04/2026
āMfano; watoto wanaoishi katika mazingira magumu, waendesha pikipiki (bodaboda) na wajasiriamali wadogo walieleza kuwa walipewa fedha kati ya sh. 10,000 hadi sh. 50,000 na waliahidiwa ajira na maisha bora. Ilielezwa zaidi kuwa kuanzia tarehe 12 Oktoba, 2025 hadi 28 Oktoba, 2025 waliwekwa pamoja, kupewa mafunzo, kuandaliwa na kuhamasishwa kuwa sehemu ya kuanzisha na kushiriki ghasia siku ya Uchaguzi.ā
23/04/2026
auli mbiu za No reforms no election, tumedhamilia uchaguzi hautafanyika, Samia must go, tunataka kuikombo nchi yetu na hakuna uchaguzi katika serikali hii ni miongoni mwa kauli zilizochoche ghasia.
Hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu Amani Oktoba, 2025 iliyowasilisha matokea ya uchunguzi mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan Ikulu leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Chande amesema kauli nyingine ni ātuhahakikisha nchi haisimami hadi Serikali iondokeā, āhakutakuwa na uchaguzi bila mabadiliko ya mfumoā na Serikali hii imepoteza uhalali wa kuongoza nchi.
21/04/2026
Huku kimataifa, Wananchi hali bado nitete, itakuwajee?
20/04/2026
Kaeni kwa kutulia, Chuma kinarudi Msimu ujao.
20/04/2026
Andaeni timu zenu Mapema, hatutaki kusikia Yanga anaharibu ligiš¤£š¤£
20/04/2026
Wananchi hili suala la Mudathir mmekaa kimya, Mbona Diarra tulimchangia?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
14112