16/06/2025
๐ต๏ธโโ๏ธ
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simba Family, Sports Team, Dar es Salaam.
16/06/2025
๐ต๏ธโโ๏ธ
06/06/2025
๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐, ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
Kanuni namba 31 Ligi Kuu Bara inasema :
"Timu yoyote itakayokosa Kufika Uwanjani bila sababu za msingi zinazokubalika na TFF /TPLB ama kusababisha mchezo usifanyike itakabiliwa na adhabu zifuatazo :
1.1 Kutozwa Faini ya Tsh. Milioni 5 ambapo Nusu itaenda TPLB na Nusu itaenda kwa Wapinzani
1.2 Kulipa fidia ya maandalizi au uharibifu wowote unaoweza kujitokeza
1.3 KUPOKWA ALAMA 15 na Viongozi waliosababisha hilo kufungiwa kwa miezi isiyopungua 12
Tunakumbushana tu
30/05/2025
TETESI : SIMBA IJAYO NI BALAA ZITO
Chini ya kapeti Simba wanaiwinda kwa Nguvu zote Saini ya Mchezaji hatari wa Al hilal Omdurman na timu ya Taifa ya Sudan Mohammed Abdelrhman kwenye drisha kubwa la Usajili mwishoni mwa msimu huu.... Simba wameamua kweli Kweli hawataki utani hata kidogo.
25/05/2025
SIKU YA UBAYA UBWELA.
25/05/2025
๐๐.
25/05/2025
Tupo kamili gado.
25/05/2025
Historia kubwa kwa klabu na nchi itaandikwa leo kwa usimamizi wa Kocha Fadlu.
25/05/2025
๐งค Manula.
๐งค Abel.
๐งค Camara.
๐งค Salim.
25/05/2025
Hakuna mchambuzi aliipa Simba nafasi kuwatoa AL AHLI TRIPOLI iliyokua na wachezaji wakubwa
Wengi walisema Simba inaishia pale, Kilichofuata Walibya waliitwa Wabovu
Hakuna mtu aliamini k**a Simba ingeongoza Kundi, Kila mtu alimpa nafasi Constatine
Hakuna mtu aliamini k**a ile TUNAVUKA kwa Al Masry ingefanikiwa haswa baada ya kutanguliwa 2-0 ugenini
Hakuna mtu aliamini Simba angecheza FAINALI ya CAFCC msimu huu, Hata Wanasimba wenyewe hawakufikiria, ni wakati wa Mungu TU
Baada ya Simba kufungwa bao 2-0 ndani ya Dk 15 tu pale kwa RS Berkane, Hakuna mtu aliamini k**a game itaisha 2-0 .... Wengi waliamini zikiwa chache basi ni 4G
Ila Mungu sio Ali Kamwe, Ngoma imeisha vile vile 2-0
Nataka kusema hivi, Kila ambacho hamkuamini kilikua, Na hata hili la sasa ambalo hamuamini nalo litakua
Huu ni wakati wa Mungu, Ni wakati ambao ni sahihi, Berkane wamekuja Tanzania wakati mbaya ๐
24/05/2025
Wageni wanakaribishwa kwenye ardhi iliyobarikiwa ya Tanzania. Hali ni shwari kuelekea kubeba ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika.
24/05/2025
Heri ya siku ya kuzaliwa Che Malone Fondoh.
18/05/2025
ูุฐุง ูู ููุชูุง ููุญู ูุนูู ุฐูู.