David Your Personal Coach

David Your Personal Coach

Share

more customers

14/04/2026

14/04/2026

Ukipenda kujiunga nasi kwa ajili ya msaada wa mazoezi mbali mbali tunapatikana boko basihaya au msikitini mtaa wa chasimba na kwa mawasilano zaidi 0719885526

13/04/2026

Mazoezi haya yatakusaidia kupunguza uzito na ukipenda kujiunga nasi tunapatikana boko basihaya au msikitini mtaa wa chasimba kwa mawasilano zaidi 0719885526

10/04/2026

Zaburi 100:1-5
1 Mfanyieni Bwana shangwe, dunia yote;

2 Mtumikieni Bwana kwa furaha; Njoni mbele zake kwa kuimba;

3 Jueni kwamba Bwana ndiye Mungu; Ndiye aliyetuumba na sisi tu watu wake; Tu watu wake, na kondoo wa malisho yake.

4 Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru; Nyuani mwake kwa kusifu; Mshukuruni, lihimidini jina lake;

5 Kwa kuwa Bwana ndiye mwema; Rehema zake ni za milele; Na uaminifu wake vizazi na vizazi.

Sabato njema

09/04/2026

Zoezi hili litakusaidia kukaza nyama za mapaja ya nyuma pamoja na kupunguza tumbo utafanya 15x3

08/04/2026

Zoezi hili litakusaidia kupunguza tumbo na kukupa wepesi wa mwili utafanya 20x3 pia ukipenda kujiunga nasi tunapatikana boko basihaya au msikitini mtaa wa chasimba kwa mawasilano zaidi piga 0719885526

07/04/2026

Zoezi hili litakusaidia kupunguza uzito

07/04/2026

Mazoezi haya yatakusaidia kupunguza uzito na ukipenda kujiunga nasi kwa msaada zaidi tunapatikana boko basihaya au msikitini mtaa wa chasimba kwa mawasilano zaidi waweza piga au kutuma sms kwa 0719885526

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address


Chasimba
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
18:00 - 15:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00