25/04/2025
Tunauza ving'amuzi na kurekebisha madish. Tupo Dar es salaam.
Piga 0713748763, usafiri bure.
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from DStv, Dar es Salaam.
25/04/2025
Tunauza ving'amuzi na kurekebisha madish. Tupo Dar es salaam.
Piga 0713748763, usafiri bure.
23/12/2024
OFA YA DSTV MSIMU HUU WA SIKUKUU
Habari,
Kuelekea sikukuu za mwisho wa mwaka DStv tunakuletea ofa kabambe za kununua kisimbuzi kwa bei rahisi, kuletewa kwako na kufungiwa dish kwa kupiga 0713748763.
○ Set nzima Sh 49000.
○ Ufundi Sh 20000,
○ Kifurushi Sh 25000+
Gharama za usafiri ni bure.
Wahi sasa ujitwalie mapinduzi ya kweli ya kidijitali kwa kushuhudia vipindi kemkem k**a vile makala, michezo, habari, sinema, muziki chaneli za watoto na dini katika muonekano halisi wa HD.
"SHARE NA MARAFIKI WENGI ZAIDI WASIPITWE NA HABARI HII"
Call/sms/whatsapp 0713748763.
28/03/2024
NI siku tatu pekee zimesalia kwa ofa hii.
JIPATIE DSTV kwa SH 99000
USAFIRI bure
UFUNDI SH 20000
OFA ya kifurushi cha mwezi mzima bure wa kuangalia zaidi ya chaneli Bora 100.
Piga 0713748763
27/03/2024
Habari,
Tunatumia nafasi hii kuwashukuru wote mlionunua kingamuzi cha DStv kwenye ofa ya KUPATA MWEZI MMOJA BURE WA DSTV SHANGWE uliowawezesha kuangalia zaidi ya chaneli kali 100. Ni matumaini yetu mme enjoy na mnaendelea kuenjoy huduma zetu.
Sasa ofa hii imesalia na siku nne pekee kukamilika. Maana yake ni kuwa ikiisha utahitaji kuongezea Sh 37000 ya kifurushi au kiasi kingine chochote kinachoendana na thamani ya kifurushi ukitakakacho.
K**a na wewe unataka kuwa mwenye bahati kwa kupata ofa hii kabla haijaisha tupigie 0713748763. Utaletewa mpaka kwako king'amuzi na kufungiwa dish na ofa hiyo juu.
NB: Hakutakuwa na muda wa ziada wa kuendelea na ofa hii
26/03/2024
Hello,
DSTV FULL SET SH 99000
DSTV DECODER ONLY SH 59000
DSTV DECODER PLAIN SH 49000
DSTV COMPLETE DISH SH 55000
UFUNDI SH 20000
OFA YA KIFURUSHI CHA MWEZI MMOJA BURE
USAFIRI MPAKA KWAKO BURE
MAWASILIANO: 0713748763
25/03/2024
Furahia zaidi ya chaneli bora 100 za kifurushi cha DStv Shangwe tukikuuzia king'amuzi kipya cha DStv. Piga 0713748763 uletewe & kufungiwa.
NB(OFA inaelekea mwisho)
23/03/2024
Huenda hii habari ikawa ina manufaa kwako au kwa mtu wako wa karibu.
NB; Ofa ikipita hakuna uwezekano wowote wa kupata bidhaa kwa OFA hiyo tena.
21/03/2024
HII OFA USIPOTEZEE. BADO WIKI MOJA PEKEE ITAMATIKE.
Jipatie king'amuzi cha DStv chenye usajili wa majina yako, unaletewa mpaka kwako, ofa ya kuangalia bure mwezi mmoja(chaneli zaidi ya 100), gharama ya kufunguliwa dish (ikibidi)Sh 20000.
1. SET NZIMA SH 99000
2. UNBOXED DECODER ONLY (ina remote/adoptor/hdmi/av cable) Sh 59000
3. PLAIN DECODER ONLY (Bila remote/adoptor/hdmi/av cable) Sh 49000
NB: OFA HII IMESALIA NA WIKI MOJA PEKEE
PIGA 0713748763
17/03/2024
VIGEZO NA MASHARTI YA OFA YA PANDA TUKUPANDISHE.
Habari,
Ofa ya kununua king'amuzi cha DStv na kupewa mwezi wa bure inaelekea mwishoni. Piga 0713748763 ujipatie Leo kwa kuletewa mpaka kwako na kufungiwa dish.
OFA YA PANDA TUKUPANDISHE inamuwezesha mteja wa DStv kupewa kifurushi cha juu baada ya kununua cha juu yake. Kuna malalamiko kutoka kwa baadhi ya wateja kuwa hawapewi OFA hii, lakini kuna vitu unatakiwa kujua
1. Ukilipia kifurushi kilekile ulicholipia mwezi uliopita hupati ofa.
2. Ukishusha kifurushi halafu ndio ukalipia cha juu hupati ofa
3. Ukilipa kifurushi cha juu unatakiwa upige *150*53 # kubadili kifurushi
4. OFA inatolewa ndani ya masaa 24 toka ulipolipia
ILI UPATE OFA LIPIA KIASI CHA KIFURUSHI CHA JUU KISHA PIGA *150*53 # KUPANDISHA KIFURUSHI, NDANI YA MASAA 24 UTAHAMISHIWA CHA JUU ZAIDI.
Mwezi February ulikuwa unatumia kifurushi cha DStv Bomba, mwezi March lipia Sh 37000 (BEI ya kifurushi cha DStv Shangwe) na piga *150*53 # kubadili kifurushi kwenda DStv Shangwe. Ndani ya masaa 24 hutakuwa tena Shangwe Bali utaanza kuona chaneli za DStv Compact (Kifurushi cha Sh 60000)
"SHARE NA MARAFIKI WENGI ZAIDI WASIPITWE NA HABARI HII"
0713748763.
14/03/2024
NINI UNAPATA KWENYE OFA YA MWEZI MMOJA UKINUNUA DECODA MPYA YA DSTV KUTOKA KWETU.
Habari,
Habari iliyo njema ni kuwa ukipiga 0713748763 ukiletewa king'amuzi cha DStv tunakupa ofa ya mwezi mzima wa bure, habari isiyo njema sana ni kuwa ofa hii inaelekea ukingoni.
Huenda hiyo isiwe habari sana lakini habari ni kuwa ukijiunga na sisi na kupata mwezi mzima wa kifurushi cha DStv Shangwe chenye zaidi ya chaneli 100 unapata mseto wa mambo mengi k**a vile za ndani k**a Jua Kali n.k, kali za M Net n.k, inayotikisa ikiongozwa na kabumbu za la liga, serie A na baadhi ya mechi za EPL na Uefa, zenye kuvutia, burudani za , , , n.k
Kikubwa utavipata katika uonekano ang'avu wa
Wahi ofa hii ipo mwishoni kwa Sh 99000 na Sh 20000 ya ufundi, usafiri ni bure mpaka kwako. Piga 0713748763 leo usichelewe.
12/03/2024
PANDA TUKUPANDISHE UTAZAME UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Habari,
Unatumia kifurushi cha DStv Poa au DStv Bomba?, Lipia DStv Shangwe cha Sh 37000 uunganishwe Compact uone baadhi ya mechi za UEFA CHAMPIONS LEAGUE na mechi zote za EPL
Unatumia DStv Shangwe au bado upo kwenye ofa ya mwezi mmoja bure ya wateja wapya?. Lipia DStv Compact Sh 60000 utazame mechi zote za UEFA CHAMPIONS LEAGUE baada ya kuunganishwa na Compact Plus.
Huna king'amuzi cha DStv?. Nakuibia Siri kuwa muda wa kununua ni huu. Habari ijayo inaweza isiwe njema sana kwako, kupewa mwezi mzima bure na yenyewe ina utamu wake.
Piga 0713748763 uletewe mpaka kwako kwa Sh 99000 na ufundi Sh 20000 + OFA ya kifurushi cha bure cha mwezi mzima. Usafiri ni bure, unasajiliwa kwa Majina YAKO na hela ni baada ya kazi.
Mpe taarifa na jirani yako.