03/11/2017
ni jumamosi hii yanga vs singinda united
ni katka mbio za kutetea ubingwa wetu
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Nitaipenda Yanga Milele, Sports Event, Dar es Salaam.
03/11/2017
ni jumamosi hii yanga vs singinda united
ni katka mbio za kutetea ubingwa wetu
31/10/2017
unawakubali kwa asilimia ngapi hawa
chirwa
ajibu
29/10/2017
asubuhi njma mafanci
26/09/2017
pamoja kwamba ataukosa mchzo wa jumamosi zidi ya mtibwa papy kabamba tshishimbi anaendelea kujifua kujiweka fit zaidi
25/09/2017
25/09/2017
Asubuhi njema mwanajangwani
22/09/2017
nani namba moja wako apa unaemkubali zaidi
22/09/2017
yanga vs ndanda fc jumamosi hii usikose hii mwana yanga
27/08/2017
yanga vs lipuli fc leo hii
mida saa10:00
05/08/2017
anapiga pale kamsokooo anakwenda pale hatari gooooooooooooooooool yanga wanaandka bao la kwanza singida bila
18/07/2017
dornad ngoma yupo fiti kujiunga na wenzake kambini. hivi kalibuni