06/05/2026
eti
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ๐๐ข๐ ๐๐ฌ๐, komkya01@gmail. com, Dar es Salaam.
1.Graphics&Design
โถ๏ธLogo design, posters, cv-writing, B.cards
โถ๏ธCalendar, certificate, invoice design.
โถ๏ธGhostwriter, online typing, IT issues.
2.Online Applications
โถ๏ธNIDA, RITA, BRELA, TIN applications.
06/05/2026
eti
06/05/2026
KUPATA CHETI CHA KUZALIWA ANDAA VITU VITATU KATI YA VIAMBATANISHO VIFUATAVYO
-KADI YA CLINIC
-PASPORT YA KUSAFIRIA
-CHETI CHA DRS LA SABA
-LIVING CERTIFICATE YA FORM FOUR
-KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA
-KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KURA AU CHA NIDA CHA MZAZI
-TANGAZO LA UZAZI
-CHETI CHA UBATIZO
-BARUA YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA AFSA MTENDAJI WA KIJIJI(HII NI LAZIMA)
-KITAMBULISHO CHA NIDA
-LESENI YA UDELEVA
*NB:VIAMBATANISHO HIVI WALAU VIANZIE VITATU*
GHARAMA YAKE NI 35000/=
20,000 UNALIPA RITA
15,000 ADA YA KAZI ILIYOFANYIKA
02/05/2026
KOMKYA DIGITAL HUB...
KARIBU KWA HUDUMA ZA ONLINE ,CHOCHOTE KILE UNACHOHITAJI MTANDAONI IKIWA NI;
1.CHETI CHA KUZALIWA/KIFO
2.MAOMBI YA NIDA ONLINE
3.MAOMBI YA KAZI AU KUANDIKIWA CV,BARUA YA KAZI.
4.KUOMBA VYUO
5.KUOMB MADAI YA NSSF
6.HUDUMA YA BIMA NHIF NA KUONGEZA NDUGU,BABA,MAMA AU WATOTO.
7.KUSAJILI JINA LA BIASHARA BRELA
8.KUOMBA LESENI ZA BISHARA HALMASHAURI.
9.KUOMBA TIN NUMBER TRA
10.AVN NUMBER NA CHETIย
11.KUSAJILI NGO'S.
12.KUFUNDISHWA EMAIL NA MATUMIZI YAKE PAMOJA NA NAMNA YA KUJILINDA MTANDAONI.
13.ESS UTUMISHI NA BANK RECONCILIATIONย
15.LATRA NA LESENI YA USAFIRISHAJI
16.MIFUMO YOTE YA SERIKALI KARIBUNI SANA..
NJOO INBOX AU PIGA SIMU NAMBA 0687495993/0765153106.AHSANTENI.
Jiunge na Group letu la fursa ili uweze kupata huduma hizi kwa urahisi na kwa bei poa zaidi... Link ya kujiunga https://chat.whatsapp.com/Dtk6CehoZf27shpOfJCRDI?mode=gi_t
02/05/2026
Kumekucha tena...
Na huduma zetu za online zinapatikana muda wote.
Je, umepoteza nyaraka yoyote, kadi ya benk, simu au wizi umefanyika mali zikaibwa?
Unahitaji Loss report sasa.
Ni tsh 6,000/=
1.Tuma picha yako inayoonesha sura yako vizuri, majin yako kamili na number ya nida au ya kitambulisho cha kura.
2.Mkoa wako, wilaya, kata na mtaa wako unaoishi mahali ambapo mali ilipopotelea.
3.Namba ya mali husika, mfano namba ya akaunti ya benki, namba ya kitambulisho kilichopotea, IMEI ya simu au aina ya simu iliyopotea.
4.Tarehe mali ilipotea.
Karibu tukusaidie tupigie 0687495993.
WhatsApp yetu 0717963100.
Angalia Huduma zetu kwa pamoja kwenye catalog hii๐๐ผhttps://wa.me/p/26746083318380349/255717963100
Jiunge group letu la huduma za online https://chat.whatsapp.com/Dtk6CehoZf27shpOfJCRDI?mode=gi_t
28/04/2026
UNAIJUA NSSF?
NSSF (National Social Security Fund) ni mfuko wa hifadhi ya jamii unaosaidia wafanyakazi kupata mafao wanapostaafu, kuachishwa kazi, kuumia kazini au kwa matatizo mengine ya kazi.
Faida zake kwa ufupi:
โ Kupata mafao ya uzeeni (pensheni)
โ Mafao ya kuachishwa kazi
โ Mafao ya ulemavu au kifo
โ Usalama wa kifedha baada ya kazi
๐ฅ๏ธ Je umeacha kazi au umestaafu na unahitaji kufungua madai ya NSSF?
Nakusaidia kufungua madai yako ONLINE kwa haraka na kwa gharama ndogo.
๐ฒ WhatsApp: 0717963100
๐ Simu: 0687495993
Karibu upate msaada kwa urahisi zaidi kwa whatsapp link pia hii hapa https://wa.me/message/BM63CX6YY5BLE1
26/04/2026
Mlandege:Simba msitufunge...
Simba๐๐ฝ๐
26/04/2026
Trending #1 in Tanzania now๐
24/04/2026
JE,UNAFUATILIA CHETI CHA KIFO CHA MPENDWA WAKO?
KARIBU NIKUOMBEE ONLINE POPOTE ULIPO...
JE,UNATAKA PIA CHETI CHA KUZALIWA?
๐๐ผIli kupata cheti cha kifo/KUZALIWA kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Tanzania, unahitaji kuwasilisha viambatisho vifuatavyo:
1. Kibali cha mazishi: Hiki hutolewa na hospitali ambako kifo kilitokea. Ikiwa kifo kilitokea nyumbani au nje ya hospitali, utahitaji barua kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kata ambapo kifo kilitokea.ย
2.ย muhtasari wa kikao cha familia: Muhtasari huu unaonyesha makubaliano ya familia kuhusu taarifa za marehemu na inahitajika kuthibitisha uhalali wa maombi yako
Muhtasari huu unatakiwa kukutaja wewe k**a mfuatiliaji au mtu ambaye ndiye mfatiliaji wa mirathi ya marehemu.
3. Nakala ya cheti cha kuzaliwa cha marehemu: Ikiwa cheti cha kuzaliwa cha marehemu kinapatikana, inashauriwa kuwasilisha nakili yake k**a sehemu ya viambatisho.ย
4. Kiapo cha mahak**a kuwa wewe ni nani kwa marehemu na kuthibitisha kweli kifo kilitokea.(HII IKIHITAJIKA AU KUKITOKEA MKANGANYIKO)
5. Barua ya utambulisho kutoka kwa mtendaji wako, akikiri wazi kumjua marehemu na kuthibitisha kuwa kifo kilitokea na kuthibitisha utambulisho wako kuwa wewe ni mtoto wa marehemu au mtu mwingine... (BARUA YA UTAMBUZI WA KIFO KATIKA ENEO HUSIKA ALIPOFIA MAREHEMU)
6.kadi ya NIDA kura au passport ya marehemu
7.KADI YA NIDA AU KURA YA mfuatiliaji wa mirathi
CHETI CHA KUZALIWA(Vitatu kati ya hivi)
1.Cheti cha form iv/leaving certificate
2.Cheti cha ubatizo/falaki
3.Nida/kadi ya mpiga kura
4.Passport au leseni ya udereva
5.Barua ya utambulisho ya Mtendaji wa kata yako
6.Kadi ya clinic
7.Nida /kura ya mzazi wako
โ ๏ธANGALIZO: HAKIKISHA MAJINA YAKO NA MIAKA YAKO,TAREHE NA MWEZI WA KUZALIWA IPO SAHIHI NA INAENDANA NA VIAMBATANISHO VYAKO VYOTE
๐ฐAndaa pesa kwa ajili ya kufuatilia suala hili na kulipia huduma za RITA na anyekuombea.ย
Simu:0687495993
Whatsapp:0717963100
Group letu la kazi kujiunga ni link ๐๐ผhttps://chat.whatsapp.com/Dtk6CehoZf27shpOfJCRDI?mode=gi_t
23/04/2026
UMUHIMU WA KUWA NA COMPANY PROFILE NA BUSINESS BROCHURE.
Je, unafahamu umuhimu wa Company Profile, kwa biashara yako? Huu ni wasifu unaoeleza kwa uchache kuhusu kampuni yako, huduma au bidhaa unazotoa, na malengo yako ya kibiashara.
Company Profile document muhimu kwa kujenga imani na kuwavutia wateja wapya, wawekezaji, na washirika wa kibiashara.
Maana inabeba jina lako la biashara/kampuni, mawasiliano yako, historia fupi ya biashara yako, malengo ya biashara/kampuni yako, washirika na namna bora unavyoiona kampuni au biashara yako mbeleni.
Wasiliana nasi leo ili tukuandalie company profile/wasifu bora wa kampuni yako! Kwa gharama nafuu zaidi...piga simu 0687495993..
Gusa button ya WhatsApp moja kwa moja hapo chini kulia au link ya whatsapp hapa, ๐๐ฝMessage Komkya on WhatsApp. https://wa.me/255717963100
23/04/2026
Cheti cha kuzaliwa ni hati rasmi inayothibitisha kuzaliwa kwa mtu, na ni muhimu sana kwa sababu kadhaa hapa Tanzania:
1. Kitambulisho Rasmi: Ni hati inayotambulika kisheria inayoonyesha tarehe na mahali pa kuzaliwa, pamoja na jina na taarifa za wazazi. Hii inasaidia kuthibitisha uraia wa mtu.
2. Elimu: Ni sharti la msingi kwa ajili ya kujiandikisha shule na kufanya mitihani ya kitaifa k**a vile darasa la saba, kidato cha nne, na kidato cha sita.
3. Huduma za Afya: Cheti cha kuzaliwa kinaweza kutumika kupata huduma za afya, hasa kwa watoto na wajawazito.
4. Ajira na Mafunzo:Waajiri wengi na vyuo vya ufundi na elimu ya juu huhitaji cheti cha kuzaliwa k**a sehemu ya mchakato wa maombi.
5. Usajili wa Ndoa:Linahitajika kwa ajili ya kuandikisha ndoa kisheria.
6. Hati za Kusafiria na Visa: Cheti cha kuzaliwa ni muhimu katika kupata hati ya kusafiria na visa kwa safari za kimataifa.
7. Mirathi: Husaidia katika masuala ya mirathi na haki za urithi, kwa kuwa kinaweza kutumika kuthibitisha uhusiano wa kifamilia.
Kwa kifupi, cheti cha kuzaliwa ni muhimu kwa ajili ya kupata huduma mbalimbali na kuhakikisha haki za kisheria na kijamii zinapatikana kwa urahisi.
Unakipataje?
Unaweza kukipata sasa kwa kukiomba mtandaoni na baada ya muda mfupi ukakifuata ofisi za RITA zilizoko karibu na wewe.
Nini mahitaji muhimu?
Katika tangazo la picha tafuta viambata vitatu kati ya vilivyoanishwa huku barua ya utambulisho ikiwa na passport size kutoka kwa mtendaji wako wa kata ulipo ikiwa ni ya LAZIMA kati ya viambatanisho vinavyohitajika.
Nini gharama zake?
Itakugharimu tsh 30,000/= tsh 20,000 utalipa kwa Rita kupitia malipo ya serikali kwa njia ya control number utakayopewa, na tsh 15,000/= gharama za atakayekufanyia hiyo kazi na stationery.
Ni muda gani uli ukakikfuate ofisi za RITA baada ya kufanya maombi?
K**a taarifa zako ni kamili na hazina kikwazo inaweza kukuchukua siku 3 mpaka tano.
Wasiliana nami kwa namba 0687495993 au 0717963100 zote zipo whatsapp na unaweza kunipata muda wowote.
Link ya whatsapp inakuleta moja kwa moja
https://wa.link/ta3jwu
23/04/2026
AJIRA MPYA SERIKALINI DEADLINE TAREHE 3/5/2026.
Je, una Certificate, Diploma, Degree mpaka Masters?
Je, Vyeti vyako viko certified na mwanasheria?
Je,unataka kuombewa ajira hii TUTAFUTE
Je, unataka kusoma zaidi PDF lenye vigezo vya ajira hii... TUTAFUTE group letu la kusaidia watu kuomba ajira hii unaweza kujiunga kupitia link ๐๐ผhttps://chat.whatsapp.com/Dtk6CehoZf27shpOfJCRDI?mode=gi_t
Baada ya hapo tutakupa pdf la vigezo na masharti ya kuomba ajira hii,tutakuandikia barua wenyewe au utaandika mwenyewe utascan na kututumia tuna maliza kazi hapo hapo ...
Njoo whatsapp kupitia button hapa chini...
KOMKYA TUMERUDI UPYA MATAPELI WOTE MOTONI๐ซต๐พ