31/07/2026
what's a goal from Peter Shalulile ππ°π¨π¨π¨π
what's a goal from Peter Shalulile
Nyd de videoer og den musik, du holder af, upload originalt indhold, og del det hele med venner, familie og verden pΓ₯ YouTube.
31/07/2026
Nawasalimu wote.
Nina furaha na heshima kubwa kujiunga na Young Africans SC, klabu yenye historia kubwa, mafanikio makubwa na mashabiki wa kipekee.
Kwangu, hii ni fursa na changamoto muhimu katika maisha yangu ya soka. Nimekuja kwa unyenyekevu, kujituma na ari kubwa ya kuchangia mafanikio ya timu. Lengo langu ni kufunga mabao, kuisaidia Yanga kutetea na kutwaa mataji, pamoja na kushindana kwa kiwango cha juu katika CAF Champions League.
Ninatoa shukrani za dhati kwa uongozi wa klabu kwa kuniamini na kunipa nafasi hii. Ninasubiri kwa hamu kuvaa jezi ya Yanga, kukutana na mashabiki wetu, na kuanza safari hii mpya ya mafanikio pamoja.
Daima Mbele! π¨ππͺ
Ameandika Cheikh ibrahim Toure kwenye ukurasa wake wa instagram
31/07/2026
YANGA WANA NGUVU KUBWA MBELE! π₯π’π‘
Mpaka sasa, Yanga ina washambuliaji watatu wa kigeni
π¦π΄ Laurindo Depu
πΈπ³ Cheikh Ibrahim TourΓ©
π³π¦ Peter Shalulile
31/07/2026
Kocha Manqoba Mngqithi amemshawishi beki wa Golden Arrows, Oumar Comara, kujiunga na Young Africans SC (Yanga).
Beki huyo wa kati mwenye umri wa miaka 25, raia wa Ivory Coast, alikuwa nguzo muhimu ya safu ya ulinzi ya Mngqithi msimu uliopita.
Wananchi mnasemaje kwenye hili?
31/07/2026
MWANA YANGA UNAUONAJE USAJIRI WETU WA KIMATAIFA???
24/07/2026
π¨ HESHIMU SANA KITU KINAITWA PESA π J EAN CLAUDE GIRUMUGISHA
ππ Ngoja pakucheπ
24/07/2026
BREAKING; Taarifa nliyopenyezewa ni kwamba Klabu ya Yanga ipo kwenye mpango wa kushusha MCHEZAJI MKUBWA ambae ameshaonyesha ubora kwenye ngazi kubwa kimataifa.
Anatoka hapa hapa Afrika na anaweza kua usajili ghali zaidi kwenye historia ya Klabu ya Young Africans Sports Club
23/07/2026
ERICK MWIJAGE (ZENDEN) WA KMC ASAJILIWA YANGA
21/07/2026
MUTASINGWA WA AZAM ATIMKUA KAIZER CHIF YA AFRICA KUSINI