29/11/2023
NAAAAAM .. Leo Tunakwenda kuweka Historia ya kuwa na Tawi la Kwanza kuzinduliwa Baharini ✊🤩 Yanga Hatuna Shughuli ndogo .. Mwarabu Kazi Anayo! Wananchi wote Tunaalikwa! Tukafurahi pamoja na Burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wakubwa zitakuwepo.. Njoo na Hela yako ukate Tiketi yako ya Jumamosi🔰