Rais Samia Suluhu Hassan amewasamehe wafungwa 1548 kuadhimisha miaka 63 ya uhuru.
Follow Gafla Tanzania
Gafla Tanzania
Jisikie huru kufuatilia Gafla Tanzania.
● Habari
● ️Burudani
● ️Mahojiano
● Filamu
Diamond pamoja na Fally Ipupa na Simi waingia studio tena huko Paris, Ufaransa
Follow Gafla Tanzania
09/12/2024
Mwijaku threatens that W***y Paul will not see it through to next year: "Nimwambie W***y Paul umeingia choo cha k**e. Ukivuka huu mwaka salama kuelekea mwaka wa 2025 mi sio Mwijaku"
09/12/2024
William Samoei Ruto I had a productive meeting with Retired President Uhuru Kenyatta during my visit to his Gatundu residence, where we talked about national and regional concerns.
I expressed my gratitude for his ongoing contributions as a national leader and for his efforts in promoting peace within the region.
We emphasized the need for a swift resolution of the court issues regarding the IEBC and advocated for backing former Prime Minister Raila Odinga's candidacy for the Chair of the African Union Commission.
09/12/2024
Bainisha ni nani bora kati ya Diamond Platinumz na W***y Paul?
09/12/2024
DEM WA FB ana enjoy maisha na akiwa Dubai
"Wacha niseme initoke 🫣🫣🫣 nimekunywa majiii sanaaa swimming si yanguu"
09/12/2024
Aliyekuwa rais wa Ghana, John Dramani Mahama, anatarajiwa kurudi kwa wadhifa huo baada ya makamu wa rais Mahamudu Bawumia, ambaye ni mgombea wa chama tawala, kukubali kushindwa katika uchaguzi wa rais.
Kabla ya kutolewa kwa taarifa rasmi, Bawumia aliwaambia waandishi wa habari kwamba anaheshimu maamuzi ya wapiga kura na kwamba tayari amemfahamisha Mahama kwa simu kwa kumpongeza k**a rais mteule.
Follow Gafla Tanzania
09/12/2024
Assad alikimbia nchi baada ya waasi kuiteka mji mkuu, Damascus, na kutoa agizo kwamba kubadilishana kwa madaraka kufanyike kwa njia ya amani.
Follow Gafla Tanzania
09/12/2024
Leo Magazetini. Habari zinazoonekana kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti leo, Desemba 09, 2024.
08/12/2024
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, anataka kufikia makubaliano ya kumaliza vita kati ya Urusi na Ukraine baada ya kukutana naye mjini Paris.
Katika ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii, Trump alisisitiza kwamba Zelensky anataka kusitisha vita, akionyesha haja ya kuwa na mapokezi ya haraka ya mazungumzo.
Trump alionya kwamba maisha ya wengi yamepotea na kwamba bila hatua za haraka, mzozo huu unaweza kuendelea na kuwa mbaya zaidi.
Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, alihudhuria mkutano huo kati ya viongozi hao wawili katika kasri la Elysee jana, huku ikiwa ni takriban miaka mitatu tangu Moscow ilipoanza uvamizi wa kijeshi wa Kiev, na likiwa ni wiki chache kabla ya Trump kuapishwa rasmi tarehe 20 Januari.
Follow tanzania
Click here to claim your Sponsored Listing.