Baada ya baadhi ya Wasanii kujitokeza mara kwa mara kwenye Mashindano ya Samia Cup Mikocheni Mrembo amemchana Msanii wa Singeli kuwa anaonekana hovyo Samia Cup anashusha Brand yake.
Je unakubalina na Mrembo kwa asilimia ngapi?
FULL VIDEO ITAZAME KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YA KAUTV LINK IPO KWA BIO 👆
🤸
Kau Krishaz
📺 Kau TV – Online TV ya habari, michezo, na burudani. Live kila siku.🌍 Tazama popote, muda wowote!
Kuelekea Mchezo Mkali wa Mashabiki wa Simba na Yanga, Afisa Habari wa Yanga, , Amempelekea Mtani Wake wa Simba Supu Kitendo cha Upendo na Heshima kwa Baba Yake.
⚽️
Baada Ya Mchezo Kumalizika Na Yanga Kupoteza Mchezo Wakiwa Ugenini Nakufungwa 1-0 dhidi ya Silver Striker FC ya Malawi.
Afisa Habari wa Yanga Ally Kamwe Ameiyomba Taasisi Ishikamane Iwe Nguvu Moja Wakati Huu Ili Mambo Yaweze Kwenda Sawa Katika Mchezo Wa Marudiano.
⚽
"Tunawachezaji bora Simba wanajaza Wachezaji Wasiokuwa Na Kiwango, Ushauri Wangu Wapunguze Mdomo Mdomo Unawaponza Simba."Akiyasema Hayo Shabiki Wa Yanga Leo Kwenye Mechi Ya Ngao Ya Jamii Ambapo Yanga Wameondoka Na Ushindi Wa Bao 1-0..... ⚽
Msanii Wa Muziki wa Bongo Fleva Awaambia Mashabiki Wa Simba Kuwa Yeye Ni Damu Ya Simba Toka Kuzaliwa Kwakwe Na Hawezi Badili Timu Anaipenda Sana Club Ya Simba Na Mashabiki Zake.Nakusema Anawashuru Sana Maana Bila Wao Mashabiki, Yeye Siikitu Kabisa.Wana Lunyasi Wamefukuza Kunguru Kweli Kweli Wamejua Kumkosha Mbossokhan.... 🤸
07/09/2025
Shirikisho la Soka Duniani FIFA limepitisha sheria mpya ya offside ambayo inaeleza Mshambuliaji atachukuliwa kuwa ameotea pale tu mwili wake wote utakuwa mbele ya beki.
Tazama slide ya picha kwa uelewa zaidi👉👉
Ikumbukwe kuwa sheria hii Imeidhinishwa lakini bado haijaanza kutumika
✍️:
⚽
05/09/2025
Bilionea na mfadhili kutoka Marekani Bill Gate alishangazwa na maneno ya binti yake baada ya kumueleza kuwa alivyo tembelea nchi ya Nigeria alifanikiwa kuonana na Burnaboy pamoja na Rema.
Gate alishtushwa na kuanza kuwatafuta wasanii hao Google kwani wasanii pekee aliokuwa anawajua wakati huo ni pamoja na pekee hakufahamu kuwa kuna wasanii wengine wanoimba kutoka nchi hiyo.
Na wasanii hao aliwafahamu kwakuwa waliwahi kutumbuiza katika ziara yake ya awali.
🤸
Click here to claim your Sponsored Listing.