DSJ FUNS PAGE

DSJ FUNS PAGE

Share

DAR ES SALAAM SCHOOL OF JOURNALISM

Dar es salaam school of journalism is located in Tanazania chiXCXCef port at the heart of Dar es salaam city Ilala,sharif shamba area .Dsj provide qualification which gives graduates and advantages in job marketing whether in the field of print or electronic media .Dsj causes carries the finnest international s credentials since 2003 in that is rthe registered by the regulation only as

12/06/2013

Serikali ya wanafunzi Dasjoso inapenda kuwataarifu wale wote walioomba hati za kusafiria ziara ya kimasomo Kenya kuwa awamu ya kwanza ya Hati hizo zimetoka leo
12/6/2013...Hivyo unaombwa kufika ofisini kuchukua pasport yako au wasiliana waziri wa Elimu Kichere Daudi Mataro.

Wafuatao waje kuchukua Hati zao za kusafiria.

1.JANETH STEPHEN BANNALI

2.FRANK RENATUS MEZA MEZA

3.KIIZA HUSSEIN SUNGURA

4.JAZILA SHABAN MRUTU

5.MARY AIDAN CHIFWILA

6.REVINA JOHN LAZARO

7.FRANK MIHAYO KAYAGILA

8.AVEMARIA ADRIAN LUHIMBO

9.BRIGITA HENRY MSASALAGA

10.ENANCE AJACKSON MREMA

11.EPHRAM WILLIAM MPINGA

12.ROGATHE FREDRICK MANGESHO

25/02/2013

wat would u guyz like to do, so as dsj members can be welcome back again to these funpage to share ideas and lots of things together as one

25/02/2013

happy monday guyz.

25/02/2013

happy monday guyz

Photos 11/12/2012
11/12/2012

guyz what is happening in DSJ

Photos 10/12/2012

Leo ni siku ya kusherehekea miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania. Tuma salamu za Uhuru kwa washkaji zako sasa.

Na, Je, una lolote la kusema kuhusu nchi yako na miaka 51 ya Uhuru?

TAHADHARI: Tafadhali tunaomba usitumie lugha chafu unapotoa comment zako!

Photos 10/12/2012

Mambo vipi? Hawa jamaa ndio wanaoongoza kwa ufungaji magoli kwenye CECAFA CHALLENGE CUP 2012 mpaka sasa. Wote wanatoka Kilimanjaro Starz.

Dodoso: Kwa maoni yako, nani ni MKALI kati ya MRISHO NGASSA na JOHN BOCCO?

Funguka ya moyoni!

Photos 10/12/2012

Rais Jakaya Kikwete amewaongoza Watanzania kwenye kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 51 ya uhuru wa Tanzania Bara wakati huo Tanganyika.

Photos 10/12/2012

Oiii, mambo niaje? Kwenye picha hii ni Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe. Ally Hassan Mwinyi wa awamu ya pili (kushoto), Mhe. Benjamin W. Mkapa wa awamu ya tatu (kulia) na Mhe. Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa sasa wa Tanzania (katikati).

Bofya "LIKE" kwa Rais Mstaafu Ally Hassan Mwinyi.
"COMMENT" kwa Rais wa sasa Dr Jakaya Mrisho Kikwete.
"SHARE" kwa Rais Mstaafu Benjamin W. Mkapa.

TAHADHARI: Tafadhali tunaomba msitumie lugha ya matusi.

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Telephone

Address

P. O BOX 25444
Dar Es Salaam
TEL+255