This page will be updated soon
Sports Room
currents and olds news,nje na ndani ya Tanzania kila aina ya michezo We are here for football
28/11/2022
Tafakuri
🤔Leo nimekuwa na nikitafakari siasa za mpira wetu nikiangalia engo ya waamuzi je! Ni kweli wameshinda kuchambua vyema sheria 17 za mpira maana wanapoteana sana katika kila mechi
👉wamelogwa
👉ni lana
👉hawajui wanachofanya
👉hawana elimu ya kutosha
👉hawajalipwa mishahara
👉wanaamua tu au shida ni nini
🤜Nilichogundua ni kwamba walio tutawala ndio waliochangia kwa kiasi vikubwa tufikie hapa maana pamoja na kuwekewa VAR laki wamekuwa wakiendelea kufanya makosa kweli mtoto wa nyoka ni nyoka
02/10/2022
02/10/2022
Man city 3-0 man utd
(Foden,Jini 2)
Dakika ya 42
18/09/2022
👉hiki hapa kikosi cha simba dimbani Leo
🤜kapombe out mwenda inn
🤜mkude out Putin inn
🤜sakho out akrah inn
Kocha kaamua kufanya mabadiliko kadhaa,walioanza kwenye mechi iliyopita ya prison
Uchambuzi mdogo tu
🥰kocha anaitaji mpira kiasi wa kasi na hataki anao anao mwingi,mkude anakaa na mpira na sakho pia ndo maana kaamua kuwapumzisha
🤜kimuonekano kikosi kinaeleweka ngoja ndani ya dakika 90 matokeo yake
18/09/2022
WARAKA WA UKOMBOZI
👉huwa najaribu sana kutafakari waandishi wetu wa habari zote za michezo hasa kwenye magazeti,wachambuzi wetu huwa kuna % fulani wanapata katika sajili zinazokuwa zikiendelea kwenye vilabu hivi vikubwa mwili
👉Mchezaji wa kimataifa anasajiliwa na hivi vilabu viwili nchi,badala ya wachambuzi wetu kumchambua kwa kutumia current form wanamchambua kwa misimu miwili iliyopita na sifa kedekede...
👉50% ya soka letu linaaribiwa na wachambuzi na waandishi wetu wa habari za michezo mf:-mchezaji kasajiliwa k**a ni mbovu sema ni mbovu acha kuwa na unafiki nyie ndio mnaochochea ubovu wa ligi yetu
👉Mimi huwa sisomi magazeti ya michezo kwakuwa 90% za habari zao ni uongo mtupu
🤜Muda wa kuamka simba hajakamilisha uwekezaji wake wewe mchambuzi hayakuusu,yanga bila GSM sio timu hayakuusu,zungumzia dakika 90 za ndani ya uwanja huko nje waachie waandishi wa habari za mishezo ifike pahala mtambue mipaka yenu
18/09/2022
🐶WARAKA 1 WA BECKA
👉Tumefikia hatua sasa wachambuzi wetu badala ya kuchambua mpira wanafanya kazi ya kupigana vijembe mitandaoni
👉wengi wa wachambuzi wetu hawajui nini kinaitajika kwa wasikilizaji wao na bahati mbaya wengi wao wamepata nafasi kwakuwa wanajuana na hawa waendesha vipindi
👉 ambaye kiasi uchambuzi wake unaeleweka kakimbia ligi yetu yeye anadeal na ligi za ulaya huku kamuacha na baadhi ya wachache
👉wachambuzi wa kibongo wengi wao wanapenda mpira ila kuuzungumzia ndani ya dakika 90 imekuwa ngumu wameamia nje ya uwanja
👉kuna baadhi ya wanaojiita wachambuzi wamekalia majungu na chuki kwa wenzao,nimewafollow wengi lakini sijaona ule Ubora ninao taman kuuona
👌Uchambuzi ni kipaji au karama ambayo mtu kabarikiwa unaweza kuusomea mpira lakini ukashindwa kuuwelezea...
🤜wachambuzi wengi wa kibongo ni waandishi za habari za michezo
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Opening Hours
| Monday | 09:00 - 00:00 |
| Tuesday | 09:00 - 23:00 |
| Wednesday | 09:00 - 23:00 |
| Thursday | 09:00 - 23:00 |
| Friday | 09:00 - 23:58 |
| Saturday | 09:00 - 23:00 |
| Sunday | 09:00 - 23:00 |