04/07/2024
🤝RASMI: Club ya imethibitisha Baada ya maafikiano ya pande zote kutoendelea na aliekua beki wake mkongo Joyce lomalisa mutambala ambae hatokuwa miongoni mwa kikosi cha yanga kwa msimu ujao.
Either yanga wamemtakia kheri ya mafanikio mema katika majukumu yake mapya Joyce lomalisa mutambala.
Goodbye 👋 waziri wa maji🤝