03/09/2026
Kikosi cha Pyramid kimefika salama Nchi Kenya π°πͺ tayari kwaajili ya kushangazwa na Gor Mahia siku ya jumapili π₯
Ukurasa Maalumu kwa habari za Michezo na kwa zaidi Simba. Whatsapp 0625302091
03/09/2026
Kikosi cha Pyramid kimefika salama Nchi Kenya π°πͺ tayari kwaajili ya kushangazwa na Gor Mahia siku ya jumapili π₯
03/09/2026
π¨ LIGI KUU MISRI πͺπ¬
Al Ahly wameshinda kwa mbinde leo, bao safi la Yasser Ibrahim π₯
03/09/2026
π¨πΉπΏ MNYAMA KUELEKEA MALAWI KESHO
Kikosi cha Simba SC kitaondoka kesho saa 1:00 asubuhi, kikiwa na jumla ya wachezaji 22 kuelekea Malawi. βοΈπ²πΌ
β Wachezaji ambao hawatasafiri:
Kapombe
Kibabage
Nangu
Yakoub
Hamza β wote kutokana na majeraha au kutokuwa fiti kimwili.
Nindi
Semfuko
Nashon β hawatakuwa sehemu ya kikosi kwa sababu za kiufundi.
Wachezaji wengine wote waliobaki watasafiri kuelekea Malawi. π²πΌ
π₯ Kila la heri Mnyama Simba π₯π¦
03/09/2026
π¨π₯ WISSA AWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI EPL! π¨π©
Mshambuliaji wa DR Congo π¨π© Yoane Wissa ametajwa kwenye orodha ya wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi Agosti katika Premier League. ππ₯
Wissa anachuana na nyota k**a Bruno Fernandes, Cole Palmer, JoΓ£o Pedro, Rayan Cherki, Ricardo Calafiori, Mamadou SangarΓ© na Konstantinos Tzolakis.
π Je, Wissa anastahili kushinda tuzo hii? ππ₯
03/09/2026
Sio kwa Ubaya ila Gongowazi ni wakati muongee na Jayrutt vizuri
Hizi jezi hazihitaji kulipia mamilioni kukodi wazungu watangaze ili zinunulike
Jezi inajieleza na imenyooka vilivyo, igeni na hii.π₯
03/09/2026
π¨π΄βͺοΈ RASMI: MARTINELLI AWEKA REKODI MPYA ARSENAL!
Gabriel Martinelli π§π· amejiunga na Al-Hilal πΈπ¦ kwa ada ya pauni milioni 60 (Β£60M), ambayo ni sawa na takribani TSh bilioni 214. π°π₯
Huo ndio uhamisho wenye thamani kubwa zaidi katika historia ya Arsenal, ukivunja rekodi ya Alex Oxlade-Chamberlain aliyeuzwa Liverpool kwa Β£35M mwaka 2017.
03/09/2026
π¨ LIGI KUU MISRI πͺπ¬
Half Time
Al Ahly 0-0 Smouha
Ngoma ngumu...
03/09/2026
π¨π¨π© RASMI: CΓDRIC BAKAMBU Ajiunga NA SAN DIEGO FC! πΊπΈπ₯
Mshambuliaji wa DR Congo, CΓ©dric Bakambu, amejiunga rasmi na San Diego FC ya Marekani kwa mkataba wa hadi mwisho wa msimu.
Bakambu sasa atacheza MLS, ligi kuu ya soka nchini Marekani πΊπΈ, ambako atakutana na mastaa wakubwa akiwemo Lionel Messi. πβ½
03/09/2026
π·πΌ KIYOVU SPORTS YAZINDUA JEZI MPYA!
Kiyovu Sports imezindua rasmi jezi za nyumbani (Home) na ugenini (Away) kwa msimu wa 2026/27. β½π₯
π HOME KIT
π AWAY KIT
Ni timu ya pili kutoka Rwanda ikitengenezewa jezi na kampuni ya Jayrutt π₯
Hapo vipi?
03/09/2026
π¨πͺπΈ RASMI: MARCOS LLORENTE ASTAAFU TIMU YA TAIFA! π
Marcos Llorente ametangaza kustaafu kuichezea Hispania πͺπΈ akiwa na miaka 31.
Amesema uamuzi huo ameufikiria kwa muda mrefu na ni uamuzi wa binafsi, licha ya kuwa bado ana nafasi ya kuiwakilisha nchi hiyo kwa miaka kadhaa zaidi.
π£οΈ βImekuwa heshima kubwa kuiwakilisha nchi yangu na kuwa sehemu ya historia hii. Asanteni kwa kila kitu.β