29/10/2024
☄️MADRID;
Taarifa kutoka katika chanzo cha habari cha relevo sport kinathibitisha kwamba real Madrid wapo sahihi Kwamba uefa wamehusika vini kutoshinda ballon d'or msimu huu.
Journalist�
Karibu katika official page ya kimichezo ya vertox
29/10/2024
☄️MADRID;
Taarifa kutoka katika chanzo cha habari cha relevo sport kinathibitisha kwamba real Madrid wapo sahihi Kwamba uefa wamehusika vini kutoshinda ballon d'or msimu huu.
29/10/2024
☄️AFRICA :
Kutokana na vyanzo kutoka Africa soccer zone hiy ndy list ya timu ambazo zipo katika performance nzuri msimu huu ndan ya Africa.
TIMU YAKO UMEIONA HAPO 🫣
18/10/2024
☄️TURIN ;
Fullback ya juventus,Andrea cambiasso kutokan na tetes za kutakiwa na real Madrid akasema,juve ni Madrid yangu na mpango wangu ni kubak hapa turin had 2029 ninachohitaj ni kubak juve kwa Muda mref.
Source :corsport
17/10/2024
OFFICIAL☄️;
Mchezaj kinda wa Manchester united kobbie mainoo amepata majeraha ya misuli na atakaa nje ya pitch kwa wiki kazaa.
17/10/2024
☄️ARSENAL;
bukayo saka atakuwa tayari kucheza mechi ya epl na bournamouth,hapo awali kulikuwa na waswas kutokan na majerah aliyoyapat kweny Tim Yake ya taifa England.
Source :FPL LATEST
17/10/2024
☄️PSG;
timu ya Paris saint German ya ufaransa ipo katika mazungumzo ya kuweza kumuongezea mkataba kocha muhispania LUIS ENRIQUE.
PSG wanamatumain nay katika project Yao mpya.
Source:Fabrizio
17/10/2024
SMITH ROWE :
Kuondoka arsenal yalikuwa maamuz magum kuyafany, Lakin kwasbab nilihitaj nafas ya kucheza.ilikuw Mda wote akilin mwang nilikuw nahitaj kuwa na furaha tena,nahitaj kupat nafas.
Mdamwingine unafikir wew ni bora Zaid.
Source:telefootball