24/12/2022
Boss
Sisi tushaprint kabisa huku
Pata habari za Soka dunian kote hapa hapa fuatilia kwa kina
24/12/2022
Boss
Sisi tushaprint kabisa huku
24/12/2022
ππππππ
Liwalo na liwe
Leo namtangaza
Huyu hapa huyu.....
18/10/2022
Karibu sana kwenye chama letu kaka mkubwa Nicholaus Parenho
Tunafrahi sana kuwa na ww na nina uhakika hatujakosea kuwa na ww
05/10/2022
Birthday Boy....
Allah azid kuwaweka sana mlonileta duniani
Its my day
24/09/2022
Mwamba huyu hapaaa.....
Karibu tena fundi wa boli Allah akuongeze nguvu uanzie pale pale ulipoishia
04/07/2022
Sopu k**a Sopu.......Dadeq litakufa jitu
Cc .amin
04/07/2022
Fundi wa mpira
amin
30/06/2022
Ubavu mmoja ubavu wa pili Edinho mamaaaaa litakufa jitu mwaka huu
Ahsante sana Boss unatuheshimisha mda huu pia bro .amin nazikubal sana shoo kaka
07/05/2022
Happy Birthday Bro ishi miaka mingi yenye amani na afya tele sema nini chama letu msimu ujao tuondokane na fedheha kaka
26/10/2021
Jaman eeeh bado yupo katka mashindano puuzen uvumi unaoendelea soma mkeka huo kutoka CAF
Wanangu wa Biashara keka bado linapumua