13/08/2026
Tunamshukuru Mungu kwa kuwezesha timu yetu ya under 15 kuingia hatua ya nusu fainali mashindano ya DM cup.ndo timu pekee iliyoshinda mechi zote kwenye hatua ya makundi ikiwa na vijana wadogo.karibu Gamba Sports center 0741278470.
10/08/2026
Gamba princess under 13 bado wapo na wanaendelea na mazoezi.
17/07/2026
vipaji ndani ya Gamba Sports center karibu.0741278470
17/07/2026
Tupo tunaendelea kuwepo ndani ya Gamba Sports center familia ya vipaji karibuni sana.
17/07/2026
Tunahamini kwenye vipaji keep moving.
17/07/2026
familia ya vipaji ndani ya Gamba Sports Center we proud of you.
17/06/2026
familia ya soka bado mapambano yanaendelea.
15/06/2026
siku zinahesabika_mashindano ya vijana chini ya umri wa miaka 12 Hadi 17 ni pale Butiama Gamba Sports rasmi tutashiriki.
26/05/2026
We stay together we win together.we still focus with football.
26/05/2026
vijana wadogo vipaji vikubwa.