10/09/2024
BURUDANI INAHAMIA MITAA YA MANZESE TIPTOP KWENYE UWANJA WA UKOMBOZI.KARIBUNI SANA
TAASISI YA KULEA NA KUKUZA VIJANA WENYE VIPAJI VYA KUCHEZA MPIRA WA MIGUU.
10/09/2024
BURUDANI INAHAMIA MITAA YA MANZESE TIPTOP KWENYE UWANJA WA UKOMBOZI.KARIBUNI SANA
09/09/2024
Kwasasa Timu yetu inashiriki ligi daraja LA tatu ubungo,ligi hii inasimamiwa na chama cha mpira ubungo U.F.A na mapaka sasa kwa mujibu wa kundi letu ,tumecheza michezo miwili na tumeweza kushinda michezo yote na tunaongoza kundi letu,ikiwa imebakia michezo mitatu kumaliza hatua ya makundi ,vijana wapo tunawaandaa ili kupambania nembo ya MFF na kulinda vipaji vyao.
09/09/2024
HABARI,sasa Taasisi yetu ya MABIBO FF tunapatikana Facebook,hivyo basi Taalifa zote kuhusu Kituo chetu zitapatikana kwenye ukurasa huu,pia mawasiliano ya viongozi yatapatikana endapo itahitajika kuyatoa ,wachezaji wetu tutawatangaza kupitia ukurasa huu,na yote yanayofanyika kwenye mazoezi na mechi zetu,piano kwa kijana mwenye kipaji ruksa kujiunga nasisi lakini kwa kufuata matakwa ya Taasisi.KARIBUNI SANA WANA MICHEZO KOTE ULIMWENGUNI.