Dar Digital

Dar Digital

Share

Karibu kwa habari za Michezo

05/08/2026

Nimeona hii picha ya Nélson de Jesus Silva anayejulikana zaidi k**a Dida mlinda mlango wa zamani wa Brazil akiwa kwenye mazishi wa gwiji wa Ac Milan Franco Baresi.

Hii picha imetrand kwa ajili ya hicho kidole chake kilichopinda katika harakati za kuzuia mipira mingi isiingie wavuni kipindi anadaka.

Nilichokigundua mpira wa sasa unachezwa sana kimbinu (sio zamani hakukua na mbinu) yaani kwa sasa wachezaji kuna muda mpaka kipa huyu hapa bado wanapiga pasi ila enzi zile ilikuwa unapigiwa muwa mita za kutosha na unaweza ukadaka vizuri ila badae madaktari wakagundua ule mpira ulivunja mshipa kidole🙌🙌

Siamini k**a kuna sasa hivi anaweza kumbana na hizi harakati. ✍️ Sana

05/08/2026

Nasoma comment tu .....!!!!!!

05/08/2026

Dah!!! Ila mwamba anakitu atafika mbali sana .....

05/08/2026

Senaf Demis Wakuma Vs Zesco Ndola Girls 🇿🇲🥳
Se Na

Credit Hon. Salva Nkindiko

05/08/2026

🚨Klabu ya Simba Queens wameibuka na ushindi wa mabao (2-0) dhidi ya Zesco Ndola Girls kwenye mchezo wa kirafiki hii leo katika dimba la Kmc Complex Dar es salaam .

➡️Magoli ya Simba Queens wamefungwa na Hellen Kutsanedzi na Elizabeth Wambui.

05/08/2026

🚨Hii hapa orodha ya vilabu (10) ambavyo vinashika nafasi kumi za juu kuelekea droo ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika (CAF Champions League) ambayo itafanyika hapo kesho.

1.Mamelodi Sundowns — Alama (73)
2.Espérance de Tunis — Alama (58)
3.RS Berkane — Alama (57)
4.Zamalek — Alama (49)
5.Pyramids FC — Alama (48)
6.Al Hilal —Alama (39)
7.Simba SC — Alama (38)
8.Yanga SC — Alama (35)
9.Petro de Luanda — Alama (27)
10.ASEC Mimosas — Alama (24)

➡️Msimamo huo ni kwa vilabu vinavyoshiriki Ligi ya Mabingwa barani Afrika msimu huu (CAFCL 2026/27).

NB: Timu yako inashika nafasi ya ngapi?

05/08/2026

🚨Kikosi cha klabu ya Simba kimeshawasili rasmi jijini Dar es Salaam leo tarehe 5 Agosti 2026 kikitokea Kigali, Rwanda, tayari kwa ajili ya tamasha la Simba Day.

➡️Wekundu wa Msimbazi wamerejea nchini baada ya kuhitimisha kambi yao ya maandalizi ya msimu mpya (pre-season), ambapo walishiriki michuano ya Kagame Cup na kucheza mchezo wa mwisho wa kirafiki wa kimataifa.

05/08/2026

Hawa ni mashabiki wa klabu ya Trabzonspor ya Uturuki wakisuburi kumpokea Mohadem Salah kwa Nyota wao mpya .

Haya ndo mapenzi ya mpira wa miguuu....

05/08/2026

Huyu ni Cr 7 mwenye umri wa miaka 41 lakini bado yupo fit kwenye soka.......

05/08/2026

Baada ya Rico Lewis kututhibitishia ubora wake kwenye kikosi cha wanaume cha Manchester City, sasa ni zamu ya mdogo wake wa k**e, Sacha Lewis, kuwasha moto!

Sacha amesaini mkataba wake wa kwanza wa kitaalamu na Man City Women baada ya kiwango kibingwa alichokionyesha kwenye timu ya vijana (Next Gen).

Kutoka akademia hadi kikosi cha kwanza, hawa hapa kaka na dada wanaokwenda kuandika kurasa mpya za historia ya soka pale Manchester.

Unampa asilimia ngapi Sacha kwenye msimu wake wa kwanza?

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility?

Telephone