Here we goooooo ππ
Wananchiiiiii new Jersey is out π₯π₯π₯π₯π₯
πππππ
Yanga On Fire
Ofiicial account ya YANGA ON FIRE. Karibuni sana mashabiki wenzetu wa YOUNG AFRICA SC.
31/08/2026
MATCH DAY ππ
πΉπΏ
πFOUNTAIN GATE FC
πSHEIKH AMRI ABED
π
31/08/2026
β°10:00 JIONI
Wananchiii wote nchiii nzima tujitokeze kwa wingi katika uwanja wa SHEIKH AMRI ABED ARUSHA tuta chukue alama 3 muhimu na magoli k**a mvua za elmino π
Dhidi ya watoto wa shule Fountain Gate .
πͺπͺπ°π°π
π₯π₯π₯
ππ°
π₯π₯ππ
wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈππππππππππππ
29/08/2026
28/08/2026
MATCH DAY ππ
πPAMBA JIJI
πKMC COMPLEX STADIUM
π
28 MAY 2026
β°3:00 USIKU
Tawi la yanga on fire YANGA ON FIRE litakuepo tena kwa Mara nyingine katika mchezo wetu wa Leo dhidi ya Pamba Jiji fc Pamba Jiji Football Club pale pale machinjioni KMC COMPLEX kwa ajili ya kuipa timu yetu Young Africans Sports Club nguvu na sapoti kubwa kuhakikisha tuna toka na ushindi wa alama tatu (3) na magoli ya kutosha.
Kwenye picha apo juu ni wachezaji wa 12 uwanjani kutoka yanga on fire YANGA ON FIRE wako tayari kuamsha vibe la kibingwa hatu poi hatu boi kwetu usiku k**a mchana πππ.
πͺπͺπ°π°π
ππ°
π₯π₯π₯.
24/08/2026
Click here to claim your Sponsored Listing.
Location
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam