15/01/2023
Mungu akupe maisha marefu yenye fraha amani na upendo, nakutakia khery ktk siku yako ya kuzaliwa
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KILIMANJARO FITNESS CENTRE, Dar es Salaam.
15/01/2023
Mungu akupe maisha marefu yenye fraha amani na upendo, nakutakia khery ktk siku yako ya kuzaliwa
10/01/2023
Hiii itakua Tanga tarehe 28 CCM MKWAKWANI STADIUM, kazi kazi, ni balaa Hatari tupu
22/10/2022
Kazi kazi
16/10/2022
Hongera sana kaka Hongera sana
07/09/2022
Kazi kazi, karibu sana ktk kuendelea na kusaidia kusapot, kupromot, boxing Tanzania 🇹🇿, pia ahsante kwa kudhamini mchezo wa ngumi nyumbani Tanzania 🇹🇿, mungu akuzidishie kila la khery na akufanyie wepesi,
Bondia HABIBU PENGO akili kwa uchungu baada ya mpinzani wake SAIDI MKOLA kushindwa kupanda ulingoni, sababu alikua amepania kumpa kichapo kibaya sana, hivyo anaskia uchungu kupewa ushindi wa bure bila kupigana
Bondia champion seleman kidunda akizungumza baada ya kutangazwa kua champion WBF baada ya kupiga kwa point KATOMPA kutoka CONGO 🇨🇩
Bondia KARIM MANDONGA ataja sababu zilizomfanya apote pambano lake songea baada ya kupigwa vibaya na mpinzani wake SHABANI KAONEKA