Basusi Media

Basusi Media Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Basusi Media, Soccer Stadium, Dar es Salaam.

WALIO JIBADILISHA JINSIA MARUFUKU KUCHEZA EPL.Chama cha Soka cha England FA kimethibitisha kuwa wachezaji wanaume waliba...
01/05/2025

WALIO JIBADILISHA JINSIA MARUFUKU KUCHEZA EPL.

Chama cha Soka cha England FA kimethibitisha kuwa wachezaji wanaume walibadili Jinsia na wanawake walio jibadili jinsia (transgender) hawataruhusiwa kucheza mpira ndani ya shirikisho hilo kwa Msimu ujao.

FA inasema hii ni kufuatia mabadiliko ya sheria iliyotangazwa na Mahak**a ya Uingereza mnamo Aprili 16. Iliamua kwa kauli moja kuwa mwanamke anatambuliwa kwa jinsia ya kibaolojia chini ya sheria ya usawa ( Defined by biological s*x)

Yaani Wachezaji wa kiume walio jibadili jinsia hawataruhusiwa kuingia kwenye Soka la wanawake.

POV: Wazungu hawaeleweki wanatangaza wenyewe mambo ya Upinde then kwenye uhalisia wanayakataa hawajui wanataka nini.

NB: Picha hazihusiki na maelezo ya Caption

09/11/2024

Vinicius jr gool

Mahak**a Kuu ya Equatorial Guinea imemuona Bartazar Engonga hana hatia kufuatia kadhia ya video za ngono alizorekodi ali...
09/11/2024

Mahak**a Kuu ya Equatorial Guinea imemuona Bartazar Engonga hana hatia kufuatia kadhia ya video za ngono alizorekodi alipokuwa akifanya vitendo vya ngono na wanawake zaidi ya 460.

Mahak**a imeridhika kuwa akina mama hao walikuwa ni watu wazima wenye maamuzi yao binafsi, hakumwambukiza yeyote kati yao gonjwa la zinaa.

Kwa upande mwingine wanaume wengi ambao walikuwa waume wa hao wanawake wamemshukuru kwa kuwasaidia kujua tabia halisi za wake zao na wengi weamua kuachana nao rasmi. Mwamba kashinda kesi.

NILIKUWA NASUBIRI KUJUA MASH*TAKA YATAHUSU NINI. MAANA YEYE NDIYE ANATAKIWA KUWASH*TAKI WALIOSAMBAZA MAMBO YAKE YA FARAGHA!!!

Basi media

Inasemekana kuwa baada ya mazungumzo kufanyika kati ya Kocha wa Yanga Miguel Gamondi na Uongozi , Kocha huyo raia wa Arg...
09/11/2024

Inasemekana kuwa baada ya mazungumzo kufanyika kati ya Kocha wa Yanga Miguel Gamondi na Uongozi , Kocha huyo raia wa Argentina πŸ‡¦πŸ‡· ataendelea kusalia Jangwani …. Gamondi bado yupo sana kwa Wananchi .

Kila kitu kimeenda sawa 🀝

follow

Baba yake Balthazar aongea:πŸ‘‡πŸ‘‡"Mwanangu si mtoto. Amekua na atawajibika. Kila mtu na maisha yake... "
09/11/2024

Baba yake Balthazar aongea:πŸ‘‡πŸ‘‡

"Mwanangu si mtoto. Amekua na atawajibika. Kila mtu na maisha yake... "

.β€œSasa hivi sina mahusiano mazuri na Hersi na hatujazungumza k**a miezi miwili hivi. Hatuna ule urafiki wa zamani ambapo...
09/11/2024

.
β€œSasa hivi sina mahusiano mazuri na Hersi na hatujazungumza k**a miezi miwili hivi. Hatuna ule urafiki wa zamani ambapo kwa siku tulikuwa tunapigiana simu zaidi ya mara 30 mpaka 40. Tulikuwa verry close. Yeye ndiyo alisema mimi ni Mwanachama. Kutokana na mazingira unakaa pembeni unatazama tu. Yanga SC ni taasisi na sio mtu β€œ

HAJI MANARA via MILLARD AYO

Kwa habari mbali mbali za kimichezo usisahau kumfollow Basusi media

09/11/2024

Mwenyekiti mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu (AFRN) mkoani Kigoma nchini Tanzania Bw. Abe Mayele Kinois amesema kesho siku ya Jumamosi Novemba 09, 2024 kutakuwepo mkutano wa baraza kuu la michezo utakaofanyika katika maeneo ya ofisi ya mwenyekiti wa wakimbizi kambini humo.

Amesema hayo leo kupitia mitandao ya kijamii ambapo ameweka wazi kuwa mkutano huo utaanza saa 3:00 asubuhi ukiwajumuisha wenyeviti wa vilabu vya soka daraja la kwanza, la pili na la tatu sanjari na bodi ya michezo kwa ajili ya kujadili masuala mbalimbali ya kuendeleza mpira wa miguu kambini humo.

Aidha Bw. Kinois amewakumbusha wenyeviti hao wa vilabu kushiriki kwa wakati katika mkutano huo ambao utaleta mpango bora katika kuendeleza mpira wa miguu kambini humo.

Updates :Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube ameitwa timu ya taifa ya Zimbabwe kwa ajili ya kufuzu AFCON 2025 Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ ....
08/11/2024

Updates :

Mshambuliaji wa Yanga Prince Dube ameitwa timu ya taifa ya Zimbabwe kwa ajili ya kufuzu AFCON 2025 Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ .

Zimbabwe πŸ‡ΏπŸ‡Ό watacheza michezo miwili dhidi ya Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ na dhidi ya Cameroon πŸ‡¨πŸ‡².

Serikali ya Nchini Israel imetuma ndege mbili Uholanzi kuwaondoa Raia wake baada ya machafuko kati ya waandamanaji wanao...
08/11/2024

Serikali ya Nchini Israel imetuma ndege mbili Uholanzi kuwaondoa Raia wake baada ya machafuko kati ya waandamanaji wanaoiunga mkono Palestina na Klabu ya Maccabi

Amri ya kupeleka Ndege imetolewa na Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu ambapo ameamuru ndege mbili zipelekwe Uholanzi ili kuwaondoa mashabiki na raia wa Israel walioko kwenye mji mkuu wa Uholanzi.

Netanyahu ametoa amri hiyo kufuatia machafuko yaliyotokea muda mfupi baada ya mchezo wa ligi ya Ulaya kati ya Ajax Amsterdam iliyoondoka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Maccabi Tel Aviv

Jeshi la Israel limesema linajiandaa kupeleka ndege mbili kwa ajili ya kuwaondoa raia hao kwa kushirikiana na serikali ya Uholanzi.


08/11/2024

Karibu san1 basusi Media !πŸ€œπŸ€›

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Basusi Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category