KANJE TV

KANJE  TV

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KANJE TV, Sports Event, dar es salaam, Dar es Salaam.

SPORTS AND ENTATAINMENT UPDATES AROUND THE WORLD
follow our youtube channel for football highlights and updates
https://youtube.com/@wiliamukanje?si=Apg2NdIh8pUwPOMT

11/06/2026

chirwa amkataa okello mbele ya chama 🙌🙌 ゚viralシfypシ゚viralシalシ

11/06/2026

😂😂😂🙌ila huyu julio ゚viralシfypシ゚viralシalシ

11/06/2026

Kwa mataifa ya africa ni timu gani unaiona ikivuka hatua hatua ya makundi na ni nchi gani itafika mbali zaidi⚽️🙌 ゚viralシfypシ゚viralシalシ

11/06/2026

Kwa maoni yako je okello amestahili kushinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi kuliko chama 🙌🙌⚽️ ゚viralシfypシ゚viralシalシ

11/06/2026

Wanasimba na wanayanga hii imekaaje 🙌🙌 ゚viralシfypシ゚viralシalシ

11/06/2026

Hawa ni wachezaji bora kabisa ambao hawajapata nafasi ya kujiunga na kombe la dunia la mwaka 2026🙌🙌🔥 ゚viralシfypシ゚viralシalシ

11/06/2026

Aliyekuwa mchezaji wa simba Moses phiri amekoshwa na maneno ya aliyekuwa kocha wake juma mgunda na hii ni baada ya mgunda kusema wachezaji wake bora ni phiri na chama ikumbukwe pia moses phiri kipindi juma mgunda akiwa simba alikuwa na kiwango bora zaidi 🔥🔥🙌 ゚viralシfypシ゚viralシalシ

11/06/2026

ZA HIVI PUNDE
Ndoa ya Yanga na Israel Patrick Mwenda (26) imefika mwisho🤝 Baada ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili hatimae safari ya Mwenda imefika mwisho,na sasa ataondoka Mwishoni mwa msimu huu. Yanga wameona ni muda sahihi kuachana na mlinzi huyu ili kutafuta beki mwingine. It’s over kati ya Yanga Mwenda❌
Ni kweli hana kiwango cha kuendelea kucheza yanga? ゚viralシfypシ゚viralシalシ

10/06/2026

Uko upande gani kwenye kombe la dunia hili la mwaka 2026 na unaiona timu yako ikifika wapi🙌🙌🔥⚽️ ゚viralシfypシ゚viralシalシ

10/06/2026

Nikipewa akina chama siwezi kufukuzwa🙌 ゚viralシfypシ゚viralシalシ

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam