YANGA FANS worldwide

YANGA FANS worldwide

Share

thefansofyangafamilly

26/12/2024

AMEANDIKA FARHAN KIHAM ✍️⤵️

Hawa Yanga wana mpango gani, mbona ghafla sana? Ni ghafla tu unamwona Pacome katikati ya Dickson Job na Ibrahim Hamad, ni ghafla tu unamwona Kibwana k**a Winger halafu Khalid Aucho yupo nafasi ya Kibabage na Kibabage yupo juu k**a Winger, ghafla tu Aziz yupo Area 14 na humwoni Mzize yupo wapi? Ghafla tu hujui Prince Dube anatokea wapi, ghafla unahisi k**a Yanga wapo wengi uwanjani, mbona ghafla sana😀

Wananchi kuwasema kidogo tu mnaleta tabia za Wamakonde? Yaani wanakuuzia kiwanja ila korosho zikikomaa wanakuja kuvuna wao😀

26/12/2024

Kutoka kwa

22/10/2024

YANGA 2-0 JKT

22/10/2024

Kikosi cha TAIFA STARS

22/10/2024

Line up

21/10/2024

Class imeamuaa

25/09/2024

FT’|

Ken Gold 0-1 Young Africans SC


25/09/2024

Wanaume 16 kumuwania mwali mmoja kutoka CAFCL 2024/25 nani atakuwa mbabe?? Itafahamika droo ya makundi ni October 7, 2024

25/09/2024

Match day vs Ken gold
Sokoine patachimbika follow YANGA FANS worldwide

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

Temeke
Dar Es Salaam