Mr Eagle

Mr Eagle Mr ๐Ÿฆ…

BREAKING ๐Ÿšจ Chota Chama amejiunga na Azam FCโœ…Azam FC wamezungumza na Chama na dili limekamilikaโœ…Baada ya kucheza Simba na...
10/07/2025

BREAKING ๐Ÿšจ Chota Chama amejiunga na Azam FCโœ…

Azam FC wamezungumza na Chama na dili limekamilikaโœ…

Baada ya kucheza Simba na Yanga Chama huyooo Azam Fc.

Winga wa klabu ya Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Edwin Balua, amejiunga rasmi na klabu ya Enosis Neon Paralimni ya nchini Cyprus ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡พ kwa mk...
10/07/2025

Winga wa klabu ya Simba SC ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ, Edwin Balua, amejiunga rasmi na klabu ya Enosis Neon Paralimni ya nchini Cyprus ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡พ kwa mkopo wa msimu mmoja.

Uhamisho huo tayari umekamilika rasmi (Done & Sealed ๐Ÿ”’) huku ukiwa ni sehemu ya mpango wa kumpa mchezaji huyo nafasi zaidi ya kucheza na kukuza kipaji chake kwenye ligi ya Ulaya.

09/01/2025
Huyu jamaa leo ndio chanzo cha ushindi hakuna aliye talajia ile save
27/11/2024

Huyu jamaa leo ndio chanzo cha ushindi
hakuna aliye talajia ile save

26/11/2024

tumekwama wapi? mbona jamaa wa kawaida sana

  mteteziet mzunguko wa pili ndo anakuwaga hatari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwa mwendo huuuuu
23/11/2024

mtetezi
et mzunguko wa pili ndo anakuwaga hatari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ kwa mwendo huuuuu

 #3 kibindoni
22/11/2024

#3 kibindoni

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mr Eagle posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share