10/01/2025
๐ฉ๐จโฌ๏ธAGAINST ALL ODDS
๐ฐ...๐๐๐๐ ๐๐
๐
โฝ๏ธ AL Hilal๐ต ๐ ๐กYoung Africans Sports Club
๐ 12.01.2025, Sunday
๐ Cheikha Ould Boidiya Stadium, Mauritania
๐ 22:00 EAT.
ORG
10/01/2025
๐ฉ๐จโฌ๏ธSAFARI NYINGINE ZINASHANGAZA SANA.
๐ฐ...Imagine unatoka nchi moja ya Afrika, unaelekea nchi nyingine iliyopo ndani ya Afrika ila unapitia Ulaya.๐
๐ฐ...Tanzania [Africa] โ Uturuki [Ulaya] โ Mauritania [Africa] yaani unatoka Afrika unaelekea Ulaya ndipo ufike Afrika. Bila D mbili huwezi kuelewa sawa Shabani๐
ORG
10/01/2025
๐ฉ๐จโฌ๏ธNI NDANI YA MUDA MFUPI TU ILA WANANCHI WAMEANZA KUONA MATUNDA YA KAZI BORA YA KOCHA LA VIUNGO, ADNAN BEHLULOVIC.
๐ฐ...Fitness ya wachezaji inarudi kwa kasi sana,,, nazungumzia ile fitness waliyokuwa nayo wachezaji wanapiga boli kwa kasi na kwa nguvu ile ile mwanzo hadi kipyenga cha mwisho kinasikika. Ile fitness ambayo ilikuwa inawapa nguvu ya kupambana na kukimbia bila kuchoka muda wote wakiwa uwanjani inarudi kwa kasi.
๐ฐ...Wananchi tutegemee story za sindano zikirudi tena,,, maana hizo story chanzo chake ni hayo yaliyoelezwa hapo juu. Story zitarudi tena,,, mwamba kashawasha moto ambao ni zaidi ya ule wa kwanza๐
JITU LA MAANA KABISA HILI.
ORG
10/01/2025
๐ฉ๐จโฌ๏ธAL HILAL ๐ YOUNG AFRICANS, CLASH OF TITANS. It's a battle for supremacy. ๐ช๐ฅ๐ฅ
Anaandika Nellove Da Presenter.
โFanya makosa yote na pengine isikugharimu ila epuka sana kufanya kosa la kudhani kwamba Al Hilal S.C atalegeza kamba kwa Young Africans Sports Club siku ya Jumapili kwakuwa tu yeye ameshafuzu. Iepushe akili yako kuwaza hilo,, chunga moyo wako kuamini hilo.
โHii mechi pande zote mbili wanaihitaji kuliko yalivyo mahitaji ya kawaida, yale mahitaji ya point 3 muhimu. Zipo sababu kibao kwanini kila timu itahitaji kushinda mchezo huu wa kibabe sana. THE CLASH OF TITANS ๐ฅ
โKwa upande wa Al Hilal anazo sababu kadhaa za kuhitaji ushindi..
..Sababu ya kwanza na kubwa zaidi ni kujiwekea mazingira ya kuongoza kundi. Vipi ili asifiwe???? La hasha, kuongoza kundi kuna faida kubwa sana, achilia mbali ile faida na ahueni ya kucheza na timu iliyomaliza nafasi ya pili kwenye makundi mengine pia faida kubwa ni kuanzia ugenini na kumalizia nyumbani zile mechi mbili za Robo fainali. Al Hilal ๐ธ๐ฉ atahitaji ushindi ili aongoze kundi na asiposhinda mechi ya nyumbani basi anaweza kupata ugumu ugenini dhidi ya TP Mazembe ๐จ๐ฉ na pengine mipango yake ikafeli.
..Sababu nyingine, ni kutaka kuendeleza ubabe.
Itakuwa mara ya nne kukutana tangu mwaka 2022 walipokutana kwenye hatua za awali za CAF Champions League ambapo Al Hilal alifanikiwa kusonga mbele baada ya kumuondoa Yanga SC kwa jumla ya mabao 2-1 kufuatia sare ya 1-1 hapa Tanzania ๐น๐ฟ na ushindi wa 1-0 kule Sudan ๐ธ๐ฉ. Lakini mara ya tatu kukutana ni mwaka jana 2024 hatua ya makundi ambapo Al Hilal walishinda mabao 2 kwa 0.
โKwa haraka haraka, ndani ya mechi tatu wamefanikiwa kuchukua point angalau moja kwani wameshinda mechi mbili na sare moja. Wakishinda ijayo??? Wameendeleza ubabe. THE BATTLE FOR SUPREMACY ๐ฅ
๐ฉ๐จโฌ๏ธACHANA NA WASUDANI, KARIBU KWENYE KURASA YA WANANCHI.๐ฐ
โกKipigo cha 2-0 kwenye mechi ya kwanza dhidi ya Hilal kilibisha hodi kipindi ambacho upepo mbaya ulishafanya makazi kwenye kasiri la wan
10/01/2025
๐ฉ๐จโฌ๏ธLEO SAA 4 USIKU MBIVU NA MBICHI ZITAFAHAMIKA.
๐ฐ...Mouloudia Club d'Alger ๐ฉ๐ฟ ๐ ๐จ๐ฉ TP Mazembe,,,, wanacheza wao ila ni muhimu sana kwetu k**a Yanga Afrika kwani utatoa picha halisi na tathmini ya namna gani tutauendea mchezo wa Jumapili dhidi ya Hilal.๐ช
Bila shaka maombi ya wananchi ni kuona sare tu kwenye mchezo huu.๐
ORG
10/01/2025
Ubashiri wa mtandao wa Africa Soccer zone kuelekea mechi za wiki hii za CAF CHAMPIONS LEAGUE.
wapi wako sahii na wapi yameyumba kwa upande wako?
10/01/2025
Real Madrid imetinga fainali ya kombe la Uhispania (Spanish Super Cup) kufuatia ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Mallorca kwenye nusu fainali iliyopigwa katika dimba la King Abdullah Sports City (Jeddah)
FT: Real Madrid 3-0 Mallorca
โฝ๏ธ 63' Bellingham
โฝ๏ธ 90+2' Valjent (og)
โฝ๏ธ 90+3' Rodrygo
Real Madrid itachuana na Barcelona kwenye fainali hiyo itakayopigwa Januari 12, 2025 katika dimba la King Abdullah Sports City mjini Jeddah, Saudi Arabia huku Barcelona ikiwa na kumbukumbu ya kupoteza 4-1 kwenye fainali ya Super Cup 2024 huku Vinicius Jr akitupia Hat-trick.
10/01/2025
Mshambuliaji wa Mashujaa FC, Ismail Mgunda huenda akajiunga na AS Vita ya DR Congo muda wowote kuanzia sasa baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili.
Daniel Lyanga wa JKT Tanzania anatajwa k**a mrithi wa Mgunda ndani ya kikosi cha wazee wa mapigo na mwendo kutoka Kigoma.
ORG
10/01/2025
Umemtambua nani na nani kwenye kikosi hiki cha As Vita ?
ORG