OPEC FOOT BALL CLUB

OPEC FOOT BALL CLUB

Share

Opec fc ni club ya mpira wa miguu iliyoanzishwa 10/02/2008

03/02/2025

Tunashinda pamoja, tukipoteza tunapoteza pamoja bado tunanafasi ya kusonga mbele opec yetu wote

17/01/2025

Final score OPEC FC 1 -ENJOY SOCCER 1
Samweli ⚽p.56'
Mesii⚽
Asanteni kwa kuja mechi ilikuwa nzuri na bora sana

17/01/2025

Matchday OPEC FC VS ENJOY SOCCER

15/01/2025

Tumedrooo mchezo wetu wa leo zidi ya mbweni fc

14/01/2025

Ushindi wa nne mfululizo
OPEC FC 2 -MBWENI COMBINE 1
David⚽35'
Jonijo⚽88'
Messi ⚽70'

07/01/2025

Our teacher show us the meaning of football
⚽Ball talent

05/01/2025

Siku ya jumatano tarehe 08/01/2025 tutakuwa na mechi ya kirafiki ugenini dhidi ya timu ya jeshi la wananchi(JWT) pale lugalo arena.unakaribishwa sana uje kuangalia pira gwaride vs pira udambwidambwi😀😀😀

03/01/2025

Ongereni vijana mmepambana kutoka nyuma mpaka kuongoza na kupata ushindi wetu wa kwanza 2025
Final score OPEC FC 3 -1 MBWENI INN FC BNV ARENA HAUTOKI
Lukaku⚽
Mwasika⚽
Mushi ⚽

Photos from OPEC FOOT BALL CLUB's post 03/01/2025

Tunaimani na nyinyi leo game tafu

30/12/2024

Tutafungua mwaka kwa mechi kali dhidi ya mbweni inn siku ya ijumaa BNV ARENA patawaka moto

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Website

Address

0657894271
Dar Es Salaam
BOKOMAGEREZA