Soka bila mipaka

Soka bila mipaka

Share

Habari za soka duniani powered by jopa the great

07/05/2025

:wanasimba mnaikumbuka hii ya onana, siku hii mashabiki Wa simba tulimuona onana, k**a Ronaldo Wa Tanzania, dakika mbili goal 2,,,,,,,,,,
bila mipaka

NBC premier league

06/05/2025

Huku bodi ya ligi kuu Tanzania,(TFF ) kutangaza tarehe ya mchezo Wa kariakooo Darby, ambao tar 15 mwezi Wa sita ndo tarehe rasmi ya mchezo kati ya simba na yanga.
✍️✍️✍️

Muda huo, huongozi Wa club ya yanga kuweka msimamo mkali kuwa mechi haichezwi na k**a point 15 wakatwe tu,,,
✍️✍️✍️

Pia club ya yanga inasema k**a ubingwa ni bora Wa sipate ila itabaki inajulikana wamenyimwa haki zao.
K**a kombe msimu huu tunazo k**a ngao ya jamii, muungano cup na wata weka nguvu kupata CRDB cup nayo Wabebe ko kwamsimu huu watakuwa wametosheka.

✍️✍️✍️

Maombi kwa mashabiki Wa yanga msikate tamaa teteheni haki za club yenu... ✍️✍️
Sisi k**a huongozi tumeka msimamo na hatugeuki nyuma...

Africa
bila mipaka
huru

05/05/2025

Karibu "soka bila mipaka" hapa ndipo penye habari moto za soka kutoka duniani kote_NBC premier league, EPL, laliga, CAF champions na mengineo.
Tuna hakikisha hupitwi na chochote kwa sababu soka halina mipaka.Usisahau kutufollow, kulike, na kukoment
Powered by jopa the great

05/05/2025

BREAKING:wachezaji hawa kufuru, mo kazamilia simba msimu hujao kubeba kila kombe kuanzia ndani hadi nje yani hadi kombe la mabingwa afrika, wachezaji hawa wakitua Tanzania. nchi itasimama,,,,,,,,,,

bila mipaka sport club
huru

04/05/2025

Hawa ni wachezaji Wa club ya simba, swali letu kwa atae jibu na hakapata "soka bila mipaka"imetoa zawadi kutangaza brand yake, na nimtu ambae atajibu swali hili, anglia hiyo picha kwa umakini utaona mshale Wa rangi ya brue umehelekea kwenye kichwa cha mchezaji, je huyo mchezaji ni nani? Ukijibu k**aumepata sisi tupo hewa tutakutumia au utachukua namba zetu kwenye page yetu "soka bila mipaka" utagusa na kuingia utachukua namba:
Usisahau kulike, kushea, kukoment, n, k....... Pamoja tuna weza,...
sports club
bila mipaka

04/05/2025

Simba haijapoa, inamalizia mazoezi yake kwenda kumvaa jkt Tanzania. Baada ya simba kutoa kichapo cha mabao 2 kwa mashujaa ambao ubao ulisomeka 2:1 simba goli 2 mashujaa 1 sasa simba inapeleka mabomu kwa jkt Tanzania. Mehi inachezwa kesho saa 16:00 alasili simba atakuwa mgeni mbele ya jkt Tanzania. Ata hivyo meneja Wa habari na mawasiliano ya club ya simba,Muhammad ally, amezungumzia mchezo huo kuwa na upinzani Mkubwa, kutokana na jkt Tanzania niwazur na sio Wa kuwa beza. Hivyo basi simba, na mpango ya simba ni kushinda vipolo vyote na awana huruma na mpinzani atae kutana nae ko wajipange,
Je, yatatimia hayo, usikose kuffow page hii, "soka bila mipaka"hapa ni nyumbani

premier league

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Website

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam