27/08/2026
Tuachane na kuongelea generic stuffs ambazo mtu atapata hata chatgpt k**a lengo ni kuikuza Fitness Industry basi twende deep zaidi tuongelee vitu ambavyo haviongelewi but vina manufaa makubwa kwenye upended wa Fitness Tuachane na generic issues π
23/08/2026
TEMPORARY POST
my whatsapp has been banned since yesterday hence if you checked me for any business inquiries, check my inbox or normal calls/text.
Thank you
19/08/2026
WOMEN FITNESS WEDNESDAY | MAONI YETU π
π₯Semzenaπ―π² BEAST MODE CALVIN π Abdul Wa Hakeem_Trainer Noel Mabele, MD | New Age Medical Doctor & Fitness ExpertππΎ Susan PT Trainer πππππΌ πππππππ|πππππππ πΎππππππ πΎπππΌπππ|πππππππ πΎππΌπΎπ
16/08/2026
Moja ya vitu napenda kutoka kwa Bret Contreras βThe Glute Guyβ PhD, CSCS , ni kuwa this guy is very rage baiting
Hakuna secret exercise kufikia malengo hao mnaowaona mtandaoni wanafanya kitu kiko proven kwa ground izo zingine ni content tu
Girl wanapenda kufanya kila wanachokiona mtandaoni bila kujali wala kujua kinahusiana na nini π
Period!!.
15/08/2026
You can't defeat a guy who believes that even his failures are the blessings from God , Gotta keep winning π«
12/08/2026
The future belongs to the relentlessπβ€οΈ
07/08/2026
Tanzania π Every story has a beginning
Yesterday Nicholaus Legnard told me "Make it worth watching" , Make every story worth reading.
This was last year mwezi wa nane
This is last month this year
ONE DAY
06/08/2026
CALVIN Dukibabaah BEAST MODE Peniel
Mwamba yupo full package na anataka coaching service yako what are you providing to/for him?!.