05/04/2026
Tunakutakia wewe na uwapendao heri ya sikukuu ya Pasaka.
We wish you and your loved ones a Happy Easter.
Juhudi Princess Rede Club ni timu ya rede makazi yake ni Dar es salaam, Temeke, Mbagala, Kiburugwa, Juhudi
05/04/2026
Tunakutakia wewe na uwapendao heri ya sikukuu ya Pasaka.
We wish you and your loved ones a Happy Easter.
22/03/2026
09/03/2026
Familia yetu ya leo hii tumepatwa na msiba wa mchezaji wetu kipenzi maarufu k**a .
**ano_Afya_Ajira.
05/11/2025
Leo ni kumbukizi ya kutimiza miaka mitatu(3) tangu kuanzishwa kwa timu yetu ya JUHUDI PRINCESS REDE CLUB.
Shukrani na pongezi ziende kwa wapenzi, mashabiki na wadau wetu wote wanaotutakia mema na kutusapoti.
🙏🙏🙏🙏
**ano_Afya_na_Ajira
24/10/2025
Mechi yetu ya nusu fainali ya ligi ya CHAUREMBO SUPER CUP dhidi ya KONAKALI QUEENS. Na tumefanikiwa kuibuka na ushindi mnono.
FT: JUHUDI PRINCESS 3 - 1 KONAKALI QUEENS
**ano_Afya_na_Ajira
19/10/2025
Leo tumecheza mechi yetu ya pili ya ligi ya CHAUREMBO SUPER CUP CHAMAZI dhidi ya WAUNGWANA QUEENS. Na tumefanikiwa kuibuka na ushindi mnono.
JUHUDI PRINCESS 6 - 0 WAUNGWANA
**ano_Afya_na_Ajira
17/10/2025
Kikosi kazi kilichoaminiwa na wapenzi na mashabiki wote wa JUHUDI PRINCESS lengo kuleta ubingwa wa mashindano CHAUREMBO REDE SUPER CUP
Hii ndio juhudi bana THE PRIDE OF KIBURUGWA
**ano_afya_na_ajira
Kwenye moja na mbili kabla ya mazoezi wachezaji na viongozi wao.
**ano_Afya_na_Ajira
20/08/2025
Mazoezi ya leo katika kujiweka sawa na mashindano.
**ano_Afya_na_Ajira
03/08/2025
Ni mechi yetu ya kirafiki dhidi ya ndugu zetu SANTIAGO QUEENS, Mungu alitusaidia nankuibuka na ushindi wa magoli 7 kwa 0.
**ano_Afya_na_Ajira
21/06/2025
Heri ya kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kapten wetu muandamizi BAHATI.
**ano_Afya_na_Ajira