Tawi la yanga kitunda

Tawi la yanga kitunda

Share

Ilipo Yanga tupo"

25/07/2026

𝐖𝐀𝐓𝐀 ππ‹π„π˜π€π€π€ ππ€πŒππ€ 𝟏

TOURE Karibu JangwaniπŸ”°

25/07/2026

🚨 DEAL DONE βœ…πŸ’šπŸ’›

Klabu ya Young Africans SC imekamilisha usajili wa winga wa kimataifa kutoka Eswatini, Justice Figuareido (27).

Nyota huyo amejiunga na Wananchi kwa mkataba wa miaka miwili, akitokea Chippa United FC ya Afrika Kusini.

Karibu Jangwani, Justice Figuareido! Tunakutakia mafanikio makubwa katika kuitumikia jezi ya Wananchi. πŸ’šπŸ’›

25/07/2026

𝐖𝐀𝐓𝐀 ππ‹π„π˜π€π€π€ ππ€πŒππ€ 𝟐

πŒπ‘ πŒπ•π Albert Kangwanda Karibu JangwaniπŸ”°

25/07/2026

Mshambuliaji mpya wa Wananchi raia wa Senegal Ibrahima Toure

22/07/2026
22/07/2026

Kazi ya Mwakani Tena inaanza rasmi..

Ni vicheko tu

11/07/2026

HUYU HAPA MCHAMBUZI MPYA WA UTENDAJI WA WACHEZAJI WA YANGA SC πŸ”° πŸ”₯ 🏟️

Yanga SC imefikia makubaliano na kumsajili Yardaan Valodia k**a Performance Analyst chini ya Kocha Mkuu Manqoba MngqithiπŸ™ŒπŸ”₯

Makubaliano yote yamekamilika na mkataba umesainiwa πŸ™ŒπŸ”₯

Yaardan Valodia ni mwananchi πŸ’ͺπŸ’šπŸ’›

11/07/2026

Safari ya Makombe kwa Kocha wetu mkuu 𝐌𝐚𝐧πͺπ¨π›πš 𝐌𝐧𝐠πͺ𝐒𝐭𝐑𝐒 inaendelea hapa

πŸ”ͺ


11/07/2026

HII HAPA NDIO CV YA KOCHA MPYA WA YANGA SC πŸ”° πŸ”₯ 🏟️

*Maelezo Binafsi*

*Jina Kamili*: Manqoba Mngqithi
*Tarehe ya Kuzaliwa*: Aprili 25, 1971
*Uraia*: Mswahili wa Afrika Kusini
*Mpangilio Anaoupendelea*: 4-3-3 Washambuliaji

*Kazi ya Ukocha*
*Young Africans SC (2026–Sasa hivi)*: Ameteuliwa kuwa kocha mkuu kwa mkataba wa muda mrefu ili kuiongoza timu kubwa ya Tanzania.

*Mamelodi Sundowns (2013–2024)*: Alianza k**a msaidizi wa Pitso Mosimane. Baadaye alihudumu k**a kocha mwenza na kushinda mataji ya ligi, na kwa muda mfupi alikuwa kocha mkuu pekee kabla ya kuondoka Desemba 2024.

*Lamontville Golden Arrows (2007–2010, 2012–2013, 2025–2026)*: Amekuwa nao mara 3. Mashuhuri zaidi aliposhinda Kombe la MTN8 mwaka 2009 baada ya kuichapa Ajax Cape Town 6-0.
*Vilabu vingine*: Amewahi kuongoza vilabu mbalimbali Afrika Kusini k**a AmaZulu na Chippa United.

*Heshima na Mafanikio*

*Kombe la Shirikisho Afrika CAF*: Mshindi (2016) na Mamelodi Sundowns.

*Ligi Kuu ya Afrika Kusini*: Alishinda mataji mengi akiwa kwenye benchi la ufundi la Mamelodi Sundowns.

MTN8: Mshindi (2009) na Lamontville Golden Arrows.

Huyo ndio kocha mpya wa Yanga SC πŸ™ŒπŸ”₯πŸ™Œ

11/07/2026

TANGAZO

Kutakuwa na Kikao cha wanachama wote wa tawi la Kitunda siku ya jumapili saa 4 asubuhi trh 12 July yaani kesho kutwa, utafanyika tawini kitunda maarufu kwa Mama Peter.

Ukiwa mwanachama au sio mwanachama ila mwanayanga ni muhimu kuhudhuria kikao hiki.

Agenda ni moja tuu UCHAGUZI fika bila kukosa,
Mwambie na mwanayanga mwingine.
Nawasilisha πŸ™
N.Katibu mkuu

Maelezo zaidi
Mwenyekiti Boaz Ikupilika 0713123017
Katibu mkuu Edwin Rumboyo 0754428931

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?

Click here to claim your Sponsored Listing.

Location

Category

Telephone

Website

Address

KITUNDA KATI
Dar Es Salaam